Nyota Ndogo
Senior Member
- Aug 7, 2011
- 150
- 33
Niseme kwa nguvu zote kabisa kwenye hii saga ya mafuta kuna OPTION moja tu.
Serikali IFUTE leseni zote (zote kabisa) za wazuza mafuta, na watoe application form upya na kuweka masharti yanayolinda maslahi ya nchi.
Kwa miaka mitano sasa wauza mafuta wamefanya Tanzania shamba la bibi na wametengeneza faida kubwa sana kiasi kwamba hata kama watufunga watagoma/wataacha kuuza mafuta kwa mwezi bado hawatatikisika financially. Hii ni hatari sana kuwa na kikundi cha watu wanatumia pesa wanakwamisha shughuli za jamii yote.
Nadhani serikali kama ingeweleza wananchi na kuwaomba uvumilivu wakati wanasuka upya utuoji wa leseni watu wengi wangewaelewa. Futa wote anza upya.
leseni ya mafuta siyo kama leseni ya kuuza karanga wewe acha kukurupuka.
siko huria haliruhusu wafanyiniashara kupanga bei; lakini je soko huria linaruhusu serekali kupangia wafanyibiashara bei?
sheria msumeno bwana wewe. usifikiri kuwa sheria inailinda serikali peke yake.
it's complicated baby.