unamuwakilisha nani? au unamaanisha kuwasilisha?Waziri wa Fedha, Mustafa Mkullo, amechanwa live na Deo Filikunjombe, mbunge machachari wa CCM. Tukiendelea hivi, nina hakika tutatoka hapa tulipo. Nawakilisha.
akapeleka na makompyuta mabovu huko Mwanga kwa wapiga kura wake.mjinga kazi yake kutembea na mabinti wadogo,kipindi kile alipokua waziri wa elimu alipitia sana wanafunzi kwa kuwapa ofa ya mkopo hata wale waliokua hawana vigezo
Nilishasema huyu bwana ni kitu nyingine!
mkuchika sijui na jipya lipi ngoja tumsikie
Mponda anasema hiyo mil 480 haijatumika kukarabati nyumba imetumika kuendelea kujengea nyumba ya waziri wa afya, je nyumba inajengwa kwa bilioni ngapi