Juzi ulimsifia Msigwa leo Mdee, inaonekana Chadema unakikubali.
ila mambo madogo madogo ndio yanakufanya ufanye tofauti na moyo wako unavyoamini.!!
chadema wanapambana kujinasua na kukwepesha huu mjadala unaowaelemea wa ugaidi kama kawaida yao
Huyu Mdee nimemsifu kwa kukanusha bila ya kurusha tuhuma zozote kwa chama ama mtu yeyote yule. Amekomaa kisiasa!
Juzi ulimsifia Msigwa leo Mdee, inaonekana Chadema unakikubali.
ila mambo madogo madogo ndio yanakufanya ufanye tofauti na moyo wako unavyoamini.!!
Yote hayo yanazungumzwa na hiyo migaidi ya CCM badala ya kutatua matatizo haya
View attachment 99835View attachment 99836
mkuu serikali inania njema na watu wake ndiyo maana wakati jk anaingia madarakani kodi kwenye mishahara ilikuwa 18% leo imefika asilimia 13 hapo vipi.kodi tatu za simu zote kwa mtumiaji wa simu,kodi nyepesi kwa kuiona lakini ni nzito na mzigo kwa mtanzania masikini.
Muache siasa nyepesi mkitaka kuwasaidia vijana ondoeni kodi ya mafuta kwani itasaidia kuwapunguzia mzigo wa hela wanazotakiwa wapeleke kwa wamiliki wa hizo pikipiki.
Kwa hiyo Serukermber ndiyo alimwaga point na Pinda aliongea cha maana? Haki ya nani CCM hakuna mzima!
We hujui kusoma kati ya mistari? Anafurahi ccm hawajashutumiwa na wewe unaingia kichwakichwa/ Angeshutumu unadhani huyu jamaa angekuja na hii comment?kwa mara ya kwanzanimeikubali coments yako, nakupa 2/10.
Huyu Mdee nimemsifu kwa kukanusha bila ya kurusha tuhuma zozote kwa chama ama mtu yeyote yule. Amekomaa kisiasa!
Halafu rejea ile mada yako kwamba ndani ya CHADEMA hakuna mtu mwenye hoja zaidi ya ZITTO na SLAA....
Kuna wakati huwa unajiachia au?
Juzi ulimsifia Msigwa leo Mdee, inaonekana Chadema unakikubali.
ila mambo madogo madogo ndio yanakufanya ufanye tofauti na moyo wako unavyoamini.!!
sasa hapo unajiuliza ni kiasi gani kimetumika kusingizia watu kesi na kwasafirisha kwa chopa mara tatutatu ,kumbe kiasi hicho kingesaidia hata kununua kigodoro tu hata cha kiuanafunzi kuwanusuru kina mama hao.ni hatari sana kuwa na serikali yenye viwio watupu. hawajui hata kupanga mambo ya kimaendeleo.Aaagh! inatia hasira kwakweli.hala kina mama haohao kesho wanapewa ubwabwa na khanga wanayasahau yooteYote hayo yanazungumzwa na hiyo migaidi ya CCM badala ya kutatua matatizo haya
View attachment 99835View attachment 99836
Dada wewe umetatua mangapi mbona hata hapa umeshindwa kupendekeza hata suruhu moja,yawezekana ukipewa nafasi ya kuongoza utaishia kulalamika.Yote hayo yanazungumzwa na hiyo migaidi ya CCM badala ya kutatua matatizo haya
View attachment 99835View attachment 99836
Juzi ulimsifia Msigwa leo Mdee, inaonekana Chadema unakikubali.
ila mambo madogo madogo ndio yanakufanya ufanye tofauti na moyo wako unavyoamini.!!
nimekupa like mara mbili nimeona haitoshi nakupa like ingine live mkuu
Afu kama huyu anaitwa zambi cjui dhambi anaboa
mbona slaa anataka kumpokonya jimbo la kawe na kumpa bibi yake josephine?Halima Mdee ni miongoni mwa wabunge mahiri wa CDM wanaowafanya watanzania zaidi na zaidi wanaendelea kuikimbilia CDM kama chaguo lao la kwanza kwa Tanzania waitakayo. Huyu mbunge ni full ma-confidence,