Toka kwa John Mnyika amemtuhumu kuwa ni mmoja wa watuhumiwa wa EPA.
Kisa ni kwanini usalama wa taifa haujawahi kumbanana na kuzuia wizi na uibwaji wa lasilimali za taifa ila inabaki kuwa ni usalama wa CCM na rais hasa kwa upinzani.
Magamba wanapata shida sana na uwepo wa Mnyika mbunge wangu wa ubungo bungeni. Kwa yanayoendelea bungeni ni dhahiri kabisa spika/wenyeviti wa bunge hawana amani kabisa pale Mnyika anaposimama bungeni na hii yote ni katika hali ya kulinda magamba pamoja na nafasi zao bungeni. Maana Magamba wanaweza kufanya kale kamchezo kachafu ka-kuwapoteza watu wetu wa namna hii!.
Kiboko yake uchaguzi wa Arumeru Mashariki. Ameshindwa mbele ya wananchi sasa anakuja kuleta vurugu huku bungeni akijua atalindwa na spika na kuongwa hela na akina wassira. Aelewe nchi inaongozwa kwa mikakati imara na sio ushabiki wa kichama na mipasho