Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,866
- 4,261
Naibu spika: Anamtoa mnyika nje ya bunge , kwa utovu wa nidhamu. na anaamuru mnyika atoke nje ya bunge.
Wana ubungo, mmechagua BOMU. AIBU SANA
Kwani ni uongo??
jamani Mibunge mingine,,duh bomu,,mpaka wenzake wanamcheka,,suti kubwaa,,cjui,,kashonea Tandale,,Nasikitika kwamba nilisoma vitabu vy a huyu jamaa
Yaani leo kazi ipp ndani umo eti atplewe hadi nje ya geti!
Ungejua Elimu ya mnyoka, usingeandika ushuzi huu
Kwani kuna tofauti yoyote ya alichoongea Lusinde na Lusinde?? Wapinzani wanaonewa bwana....