Bungeni Live: June 19, 2012

Tuhuma ya mkuu wa wilaya kuhongwa gari yaibukia bungeni.

Mh Meshak Opulukwa atakiwa kupeleka vielelezo kwa spika ili ishu ishughulikiwe rasmi.

sasa maktaba ya ofisi ya spika wa bunge itajaa vielelezo vya maandishi,sijui watavichoma moto au??????bado hoja binafsi hapo,bado ripot za kamat teule,,,bado majina 100 ya zitto,jaman
 

hapo mwigulu atakua anamkazia mwenzie dadake(rejea IGUNGA)
 
Naibu spika: Anamtoa mnyika nje ya bunge , kwa utovu wa nidhamu. na anaamuru mnyika atoke nje ya bunge.

Wana ubungo, mmechagua BOMU. AIBU SANA
 
Yaani leo kazi ipp ndani umo eti atplewe hadi nje ya geti!
 
asante kwa updates,coz umeme hakuna jamani...yaan hii nchi shida tupu
 
hivi kwanini mpaka leo wabunge wa tz hawajawi kupigana??? mimi siwezi siasa kabisa am sure leo hii ningekua humo bungeni lazma ningemdumbukizia mtu microphone.
 

tuone kama watalifanyia kazi,hivi serikali hii huijui???
 
Nyangwine: Pesa za rada ziende hadi zanzibar, mbona zanzibar haimo katika mgao wakati mambo ya rada na ulinzi ni muungano?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…