Bungeni Live: June 19, 2012

Mbunge wa CCM mkoa wa Mtwara jimbo la masasi,Mh.Mariam Reuben Kasembe ameikebehi CDM kwa kudai kuwa Rais anaweza kutoka chama chochote lakini Rais bora atatoka CCM.Maneno haya ameyanukuu kutoka kwa hayati Mwl.Jk Nyerere katika hotuba yake ya mwaka 1995.Mh.Mariam amedai CDM watafute chama kingine kama wanataka kuwa marais hapo baadae!Kwa hali ilivyo CCM wanakwepa hoja za ukweli pale bungeni na badala yake wanatumia muda wa kuzungumzia mambo ya maana vibaya kwa kurusha maneno ya ukakasi kwa CDM.Hivi CCM inatarajia kuendelea kutawala milele?
 
Ni yule mama Mwl Naomi Kahiula mbunge wa Chadema viti maalum
 
Rais bora atatoka ccm,kwasababu mikoa ya Lindi, na Mtwara ,hakuna maji hakuna barabara,shule vituo vya afya,sipajui maeneo yote ila nilikopita na nilivyoona kupitia itv chadema walivyopita huko,ni dhairi kuwa wabunge wa ccm na serekali yao ni dhaifu mno!
 
Big up kijana ila asije mwenyekiti wako akapitisha hii bajeti! Sijui utapita wapi!
 

!? Hivi mwenye matatizo ni yule aliyempa gari au anayetumia !?, hivi yule anayetafuta pesa za kulipa posho kisha akalipa, mpokeaji anakasoro gani !?"
 
Sitta namkubali kwa 100%, majungu na uzandiki ndo umetuleta hadi hapa tulipo.
Mzee yule alikuwa anasimamia ukweli bila ya kujali itikadi/ ushabiki wa upande wowote ule. ukweli wake na kusimamia haki ndo kilikuwa kitanzi chake. lakini mungu mkubwa, Makamba mropokaji alipigwa zengwe na kufanywa msukule wa muda, na kutamka wazi kuwa tunataka spika mwenye ufa na wala si mwenye muhogo kwa kipindi hiki.
Matokeo yake, Makamba hayupo ktk ramani, mzee wetu Sitta amewekwa ktk kilengeo, atapotezwa (kisiasa) mida si kitambo sana.
Sitta nakubali confi zake sana. pamoja na kunyamazishwa na wizara nyeti, bado anaichana Sisiem kwa kwenda mbele. Huu ndo uzalendo!
 
Kwa kweli Mh. Spika (Bi Kiroboto) ni hovyo kabisa, ila mtu mswafi ni Mh, SITTA pekee na wamemtoa USpika kwakua amekata kulinda Ufisadi yao na maslai yao Bungeni ndio maana, lakini wengine ni chachandu tuu ambae imechacha na avai kula.
 
sasa hii wazee wa vurugu wala hawatakomenti chochote
 
Wabunge wa CCM wote ni vilaza sana na sijui hawajui kwanini wapo bungeni? Badala ya kuwatetea wananchi wao wanakitetea chama. Je Tutafika?
 
Leo ndo nineamini hii ni ajira yako uko busy unapambana n cdm tangu asubui we kweli ni mbwiga zomba Yuko off leo nini....? Mjinga mwenzio.
Naibu spika, anajenga nidhamu katika bunge, hongera sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…