williamngalinda
Member
- Aug 10, 2013
- 29
- 2
mh.lukuvi awataje wale wanao husika na biashara hiyo.
Wakitajwa halafu
Vile vile mh.Lukuvi ameeleza nia ya serikali kubadilisha sheria ili madawa ya kulevya yakishakamatwa na ushahidi kupatikana(kuwa kwenye kumbukumbu) basi madawa hayo yaharibiwe mara moja kuliko utaratibu wa sasa ambao madawa hayo huhifadhiwa mpaka kesi husika kuisha na ametoa mfano wa madawa kuwekwa kwa miaka hata kumi kusubiri kesi ikamilike.
MY TAKE:KAMA RAISI AMESHINDWA KUTAJA HAO VIGOGO HADHARANI, LUKUVI ATAWEZA VIPI?
Hapo kwenye RED kauli hii ya Lukuvi inaonyesha jinsi gani alivyo na upeo mdogo wa kutunza kumbukumbu mbona kila kukicha Bangi inateketezwa na kwa kauli yake hii tukimwambia atuonyeshe sehemu madawa (Cocain, Mandrax, Heroin) yalikohifadhiwa na tuonyeshwe takwimu za kiasi kilichokamatwa cha madawa na kilichopo kama yanalingana na tutamuuliza tena hayo ambayo hayapo yamepelekwa wapi?
Bunge limeanza leo mjini Dodoma na sasa ni kipindi cha maswali na majibu ambapo hoja inayoendelea kwa sasa ni wabunge kutaka wahusika wa biashara ya madwa ya kulevya watajwe.Waziri Lukuvi ameahidi kuwataja na ametaka mwenye ushahidi apeleke.Hata hivyo, wabunge wamemzomea na spika ameonya hiyo tabia ya kuzomea.
Baadhi ya wabunge waliotaka majina yatajwe ni mh.Mama Kilango wa CCM na mbunge wa karatu kupitia CHADEMA ambae amehoji inakuwaje hata Raisi amekiri kuwa na orodha ya wauza unga bila wahusika kutajwa na kuchukuliwa hatua.
Hata hivyo,waziri Lukuvi amesisitiza umuhimu wa kuwa na ushahidi kwani amesema kama ni kutajwa tu na wengine wamo humu bungeni na ameongeza hata gazeti la Jambo leo limewataja kwahiyo kitu muhimu ni ushahidi na sio kutaja tu.
Vile vile mh.Lukuvi ameeleza nia ya serikali kubadilisha sheria ili madawa ya kulevya yakishakamatwa na ushahidi kupatikana(kuwa kwenye kumbukumbu) basi madawa hayo yaharibiwe mara moja kuliko utaratibu wa sasa ambao madawa hayo huhifadhiwa mpaka kesi husika kuisha na ametoa mfano wa madawa kuwekwa kwa miaka hata kumi kusubiri kesi ikamilike.
MY TAKE:KAMA RAISI AMESHINDWA KUTAJA HAO VIGOGO HADHARANI, LUKUVI ATAWEZA VIPI?
Hapo kwenye RED kauli hii ya Lukuvi inaonyesha jinsi gani alivyo na upeo mdogo wa kutunza kumbukumbu mbona kila kukicha Bangi inateketezwa na kwa kauli yake hii tukimwambia atuonyeshe sehemu madawa (Cocain, Mandrax, Heroin) yalikohifadhiwa na tuonyeshwe takwimu za kiasi kilichokamatwa cha madawa na kilichopo kama yanalingana na tutamuuliza tena hayo ambayo hayapo yamepelekwa wapi?[/QUOE]
Na wakikamata gongo utawakuta wako bwiii...sijui wanaipelekaga wapi!
Sijawahi kuzingatia jambo lolote lisemwalo na Lukuvi, sijui kwanini!
kumbe wagonga meza wapo mjengoni?
kodi ya simu ni vipi hapo?
Mifano mizuri ni kesi ya ugaidi ya Lwakatare na ile ya Igunga. Serikali imebwagwa kama haina wataalamu wa sheria (learned brothers)Akiongelea suala la madawa ya kulevya leo bungeni kwa wale wanaotajwa kuhusika kwa kiasi kikubwa, mheshimiwa Lukuvi amesema kwamba ni aibu kwa serikali kumkamata na kumshitaki mtu mahakamani bila ushahidi wa kutosha. Aliendelea kufafanua kuwa yeyote mwenye majina na ushahidi wa wanaohusika na madawa ya kulevya apeleke wayafanyie kazi vinginevyo serikali haiwezi kuwakamata kila wanaotajwa maana hata bungeni wapo wengi. Vile vile alisema kwamba kazi ya serikali sio kutaja majina bali kuwashughulikia wahalifu waliothibitika kuhusika moja kwa moja.
Je, hii aibu ya serikali ni kwa wahusika wa madawa ya kulevya tu? Mbona kuna baadhi ya watu wamewahi kukamatwa na kushtakiwa kwa tuhuma mbalimbali na serikali kubwagwa mahakamani kwa kutokuwa na ushahidi wa kutosha!
Yale majina ya wauza unga yalipelekwa kwa rais na nan? Je, ni watu wa usalama au raia wa kawaida?!
sasa kwa nini rais aseme anayo majina ya wauza unga kama hakua na uhakika kuwa ni kweli wanauza unga??
Ama tuseme alipewa majina ya washukiwa tu kisha mdomo ukatangulia ubongo?!
Hii nchi kiboko!
kumbe wagonga meza wapo mjengoni?
kodi ya simu ni vipi hapo?
asante umenisemea yaliyo moyoni mwangu ,ata mimi yaani namwona lukuvi kama kiere ere fulana vile wakizamani .yaana amechelewa kuzaliwa hadi kuwepo kizazi cha leo.yaani basi tuu
mkuu sifongo nafikiri hamumuelewi huyu lukuvu na wala hamulazimishwi kumuelewa swala la majina hata mm ni nayo lakin nashindwa kuthibitisha lakin sasa linapokuja swala la investigation hili swala kwa wanaofahamu kwanza ni linachukua muda inabidi upandikize mchwa kwa muda mrefu laskin ni gharama sana kwaiyo wenye ushahidi wapeleke hilo ndo swala la msingi kuliko kulumbana na kuzomea wakati lukuvi anabaki kuwa lukuvi