Tangu Mh. Zito atoke Bungeni, wachangiaji wa upande wa upinzani hawana hoja. Lisu na Mbowe wamesusa kwa aibu.
Fkra Dumavu hizi huwezi andika tofauti.Tangu Mh. Zito atoke Bungeni, wachangiaji wa upande wa upinzani hawana hoja. Lisu na Mbowe wamesusa kwa aibu.
Unataka kuanzisha malumbano yasiyo na tija kupima temper za watu bure!
Wala kwa fkra zako hizi BAVICHA sio Saizi yako, Nenda kamsaidie Kinana kuswaga Fisi.Aloo! mie sio Bavicha, kura yangu tayari nimeiondoa CDM inakwenda ACT.
Tangu Mh. Zito atoke Bungeni, wachangiaji wa upande wa upinzani hawana hoja. Lisu na Mbowe wamesusa kwa aibu.
Namaanisha hakuna mwenye convincing power hadi sasa.
Jela palimuathiri. Wahuni "walimfanyizia"naangalia bunge hapa duuuh lema hata kanuni za bunge ni shida anapita mbele ya spika kama anaenda sokoni kilombero
hivi huyu bwana yuko vizuri kichwani au anapuliza??
naangalia bunge hapa duuuh lema hata kanuni za bunge ni shida anapita mbele ya spika kama anaenda sokoni kilombero

Wala kwa fkra zako hizi BAVICHA sio Saizi yako, Nenda kamsaidie Kinana kuswaga Fisi.
Tangu Mh. Zito atoke Bungeni, wachangiaji wa upande wa upinzani hawana hoja. Lisu na Mbowe wamesusa kwa aibu.
Tangu Mh. Zito atoke Bungeni, wachangiaji wa upande wa upinzani hawana hoja. Lisu na Mbowe wamesusa kwa aibu.
Kuswaga fisi haina itkadi Ndugu kamata fursa.Mimi sio CCM! 2010 kura yangu nilpigia CDM lakini 2015 itakwenda ACT