Zipapa zipapa
JF-Expert Member
- Feb 15, 2013
- 409
- 118
Mimi sio CCM! 2010 kura yangu nilpigia CDM lakini 2015 itakwenda ACT
Hata mimi kura yangu naipeleka ACT
Mimi sio CCM! 2010 kura yangu nilpigia CDM lakini 2015 itakwenda ACT
naangalia bunge hapa duuuh lema hata kanuni za bunge ni shida anapita mbele ya spika kama anaenda sokoni kilombero
hivi huyu bwana yuko vizuri kichwani au anapuliza??
Aloo! mie sio Bavicha, kura yangu tayari nimeiondoa CDM inakwenda ACT.
ACT na watu wake inashangaza sana, yaani chama kinamtegemea ZZK tu ndio kitoke, huu ni udhaifu mkubwa sana! Watu hawataji sera za chama ni ZZK, this is too risky! ZZK ni binadamu akifa leo na ACT inakufa kifo cha mende! Kwa sababu hasisiki Prof. Kitila wala Mwigamba yaani ni ZZK tu! Chama kinamtegemea mtu badala ya mkusanyiko wa wanachama ktk kona mbali mbali za nchi ni hatari sana!
Hata mimi kura yangu naipeleka ACT
Hata mimi kura yangu naipeleka ACT
Hatuombei lakini Zitto akifa na hiyo Acha Ccm Tule(ACT) itakuwa imekufa. huwezi kujenga chama kwenye nguzo ya mtu mmoja.
Ayatolla hameneiHatuombei lakini Zitto akifa na hiyo Acha Ccm Tule(ACT) itakuwa imekufa. huwezi kujenga chama kwenye nguzo ya mtu mmoja.
Ni kweli kabisa mkuu bora chama chetu tunawategemea watu wawili babu na DJ akifa mmoja mwingine anabaki na chama kinasonga mbele.
Safi sana mkuu,vijana wote wanajua kuwa ACT ndo kimbilio lao.
Jela palimuathiri. Wahuni "walimfanyizia"
Unataka kuanzisha malumbano yasiyo na tija kupima temper za watu bure!
Ni mtizamo tu unaosumbua watu, unawezaje kusema tangu Zitto atoke bungeni wachangiaji upande wa upinzani hawana hoja. Kuna wabunge kama Kafulila, Mnyika, Machari, Mkosamali, Wenje Gekul. Pareso, Buruhani, na wengine wengi hata wale wa kutoka Zanzibar wote hao hawana hoja, hayo sasa matusi na kwamba tunahitaji kuwa na akili ya mbayuwayu: akili ya kuambiwa changanya na yako, akili ya mtoa post peke yake haitatufikisha popote.