Bungeni kwa sasa hakuna upinzani

naangalia bunge hapa duuuh lema hata kanuni za bunge ni shida anapita mbele ya spika kama anaenda sokoni kilombero
hivi huyu bwana yuko vizuri kichwani au anapuliza??
 
naangalia bunge hapa duuuh lema hata kanuni za bunge ni shida anapita mbele ya spika kama anaenda sokoni kilombero
hivi huyu bwana yuko vizuri kichwani au anapuliza??

ACT na watu wake inashangaza sana, yaani chama kinamtegemea ZZK tu ndio kitoke, huu ni udhaifu mkubwa sana! Watu hawataji sera za chama ni ZZK, this is too risky! ZZK ni binadamu akifa leo na ACT inakufa kifo cha mende! Kwa sababu hasisiki Prof. Kitila wala Mwigamba yaani ni ZZK tu! Chama kinamtegemea mtu badala ya mkusanyiko wa wanachama ktk kona mbali mbali za nchi ni hatari sana!
 
Tim Zitto mnalipwa sh. Ngap kuja hapa na mada za kujishebedua na Act zisizo na mbele wala nyuma
 
Hatuombei lakini Zitto akifa na hiyo Acha Ccm Tule(ACT) itakuwa imekufa. huwezi kujenga chama kwenye nguzo ya mtu mmoja.
 
Nikifikiria hadhi ya hili jukwaa nikifikiri pia na watu walio kwenye jukwaa hili, uzi huu ukiachwa uendelee kujadiliwa ni uthibitisho tosha kuwa jamii forum inapoteza umaarufu wake , kuujadili uzi huu ni kupoteza muda
 
Wachangiaji wapo ila kilammoja ana nafasiyake, wapowenye kuropoka,kutukana na wenye kuleta hoja ila bunge la wenye hoja busara na uzalendo mwakani watakuwapo
 
Back
Top Bottom