naangalia bunge hapa duuuh lema hata kanuni za bunge ni shida anapita mbele ya spika kama anaenda sokoni kilombero
hivi huyu bwana yuko vizuri kichwani au anapuliza??[/QUOT
...inawezekana anakupuliza wewe dada yetu!!
Alafu mtu kama huyu kesho na keshokutwa utasikia akilalamika eti pro-CHADEMA wana matusi!
Kweli nyani haoni....!
Tangu Mh. Zito atoke Bungeni, wachangiaji wa upande wa upinzani hawana hoja. Lisu na Mbowe wamesusa kwa aibu.
Wewe ulitaka wapinge nini?Tangu Mh. Zito atoke Bungeni, wachangiaji wa upande wa upinzani hawana hoja. Lisu na Mbowe wamesusa kwa aibu.
Lusinde ndio kiboko yao amewapa dawa..
Act mnatafuta umaarifu kupitia Cdm. Pumbafu.
Mleta mada nimekuelewa ila Bavicha kama kawaida yao wazito sijui shuleni ilikuwaje,Ulichokuwa unakieleza mtoa mada nakiweka hivi: Mfano katika timu ya mpira utakuta kuna mchezaji mmoja anakuwa ni very influential kiasi kwamba uwepo wake unatoa confidence for the whole squad and vice-versa is true.Mfano halisi wa hili ni Zinedine Zidane kwa France National team,uwepo wa huyu bwana kwa ile timu ilikuwa inawapa confidence wanajikuta wanacheza gemu kwa kiwango chao cha juu kabisa lakini asipokuwapo yeye tu hata wale wengine wote wabaki inakuwa a very diffrent team.Kwa hiyo jamani Mtoa mada alikuwa anamaanisha kutokuwapo kwa Zitto bungeni ila hamasa ya upinzani imepotea kiasi kwamba kunaonekana wako CCM wenyewe tu.
kama nyinyi mlivyopataa umaarufu kupitia cuf muosha huoshwa
Tangu Mh. Zito atoke Bungeni, wachangiaji wa upande wa upinzani hawana hoja. Lisu na Mbowe wamesusa kwa aibu.
nasema tena wachaga rudin dukan
Tangu Mh. Zito atoke Bungeni, wachangiaji wa upande wa upinzani hawana hoja. Lisu na Mbowe wamesusa kwa aibu.
umeandika kwa mkono au makalioTangu Mh. Zito atoke Bungeni, wachangiaji wa upande wa upinzani hawana hoja. Lisu na Mbowe wamesusa kwa aibu.
Ndio siasa za kistaarabu na kizalendo za ACT.naangalia bunge hapa duuuh lema hata kanuni za bunge ni shida anapita mbele ya spika kama anaenda sokoni kilombero
hivi huyu bwana yuko vizuri kichwani au anapuliza??