si huyu kigwangala aliye waandamisha watu halafu kesho yake anasema maandamano ni kuvunja amani ?jamami nahofu na udoctor wake au kaupatia kwenye neti nn
Hivi huyu Hk mbona ana kiherehere kuombaomba mwongozo..huyu jamaa anajiabisha mwenyewe kwa kweli.
ัภชฒข฿่ กซัิชัาฟชธฑัิชาฒฑภัธชธhizo ni kelele za wapumbavu wa CDM, hakuna lolote hapo. Mwisho wa maneno ni kwenye kupiga kura na hapo ndio mtajua nini maana ya kuwa na wabunge wachache. CCM ndio dume lenu nyie.
hizo ni kelele za wapumbavu wa CDM, hakuna lolote hapo. Mwisho wa maneno ni kwenye kupiga kura na hapo ndio mtajua nini maana ya kuwa na wabunge wachache.
CCM ndio dume lenu nyie.
hizo ni kelele za wapumbavu wa CDM, hakuna lolote hapo. Mwisho wa maneno ni kwenye kupiga kura na hapo ndio mtajua nini maana ya kuwa na wabunge wachache.
CCM ndio dume lenu nyie.
We punda hujisikii kinyaa kupost takataka kama hizi?Safi sana, wazungu wanaona kuna siasa ya kweli Tanzania, hii ndio serekali ilikua inataka....Haya mheshimiwa Kikwete sasa ni wakati wa kwenda kwa wazungu kuomba msaada, watatupa nyingi tu safari hii.
ัภชฒข฿่ กซัิชัาฟชธฑัิชาฒฑภัธชธ
Mpumbavu sana wewe unaota ndoto za mchana.hizo ni kelele za wapumbavu wa CDM, hakuna lolote hapo. Mwisho wa maneno ni kwenye kupiga kura na hapo ndio mtajua nini maana ya kuwa na wabunge wachache. CCM ndio dume lenu nyie.
''Ni heri kujikwa kidole kulikoni kujikwa ulimi'' sina uhakika kama umeelimika ipasavyo coz ujumbe wako unaonyesha dhahira ua thinking capacity ipo low.hizo ni kelele za wapumbavu wa CDM, hakuna lolote hapo. Mwisho wa maneno ni kwenye kupiga kura na hapo ndio mtajua nini maana ya kuwa na wabunge wachache. CCM ndio dume lenu nyie.
Kwa hiyo ukifanya kosa ukagundua kama umekosea unaendelea? Au unarudi nyuma unatafakari harafu unafanya mabadiriko. Ukifanya mapenzi na kinga ukagundua kuwa imepasuka unaendelea hivyo hivyo ? Au unaacha unajipanga upya ili uwe salama. He Magambazi. please lean to make changes otherwise bye 2015.