Bungeni: Julai 26, 2012

Mkiwa kidogo lazima mtaona mnaonewa ,Hivi Zanzibar wanavyopiga makelele na kusema wanaonewa na Tanganyika inakuwaje, huwaga mnabeza ,sasa wacheni makelele.
 
Adai wakiristo wa Zanzibar wanaonewa.hii ni wazi waislam wanaposema Chadema kipo kwa ajili ya kutetea kanisa sasa imepata nguvu.
hata wale wanaopinga sasa hawana hoja.
mungu anusuru chadema kushika nchi. vita vya kidini vitazuka
Mkuu hii kitu ilinisababishia ban narudi baadae kivingine
 
Adai wakiristo wa Zanzibar wanaonewa.hii ni wazi waislam wanaposema Chadema kipo kwa ajili ya kutetea kanisa sasa imepata nguvu.
hata wale wanaopinga sasa hawana hoja.
mungu anusuru chadema kushika nchi. vita vya kidini vitazuka
pia wanawalazimisha kufunga huu ni ukoloni wa kidini
 
Yuko sawa. Kuna uonevu gani unaozidi kuchomewa sehemu ya Ibada?

Mnataka kila mmoja awe na kanisa lake ,hivi unajenga kanisa katikati ya msitu unamaanisha nini kama sio kufanya fujo ,hilo kanisa lipo katika msitu wa makangale Pemba ,yaani hakuna hata mtu ,wakiristo wenyewe wanahesabika ,mnaharibu hela(Najua wengine hupata kuiba kwa miradi hio). Zanzibar hakustahili kujenga kanisa kila kona, yaani kila mtu mmoja ana kanisa lake. Yaani ukiangalia utaona nifamilia mojatu mtu na watoto wake ndio wanaingia kanisani ,agenda hii imegundulika.
 
pia wanawalazimisha kufunga huu ni ukoloni wa kidini

Tuwacheni tupumue ,tunaelewa karibu Tanganyika itakuwa nchi ya wanude na ili kuepuka ukoloni wacheni watu wanywe na kupiga gongo wanayiotaka ,yanini kuwakamata wakati hamuwasaidii kuwapa hela za kulewea ,huoni kama huo ni ukoloni wa kijinsia.
 
Dust-bin is another Dust if not empted, CCM must be dumped 4 our sake. Kuhusu muungano, let it go we need no muungano anymore tusitishike na rumerz za mafuta. Tunayo hiyo rumer pia mwambao wa Tanga hadi Mtwara so dnt wory they will crash themselves in just one election to come.

Kama huamini tutengane then utawasikia CUF Vs CCM 2015 huko visiwani ktanuka.
 
Adai wakiristo wa Zanzibar wanaonewa.hii ni wazi waislam wanaposema Chadema kipo kwa ajili ya kutetea kanisa sasa imepata nguvu.
hata wale wanaopinga sasa hawana hoja.
mungu anusuru chadema kushika nchi. vita vya kidini vitazuka
Naona unawaza Uji wa jioni ndio kitu kinachokusumbua au pilau la Idd liandalie mkungu wa ndizi mbivu
 
Huyu mama nilikuwa namheshimu sana ila heshima ilitoweka siku aliyosema kuwa aliacha msitu uvunwe tena kwa kukausha miti kutumia sumu wananchi wakinywa maji yenye sumu kwa muda wa miaka miwili kisa antengeneza movie yakiumpelekea Jk, bilal na pinda.
 
Mnataka kila mmoja awe na kanisa lake ,hivi unajenga kanisa katikati ya msitu unamaanisha nini kama sio kufanya fujo ,hilo kanisa lipo katika msitu wa makangale Pemba ,yaani hakuna hata mtu ,wakiristo wenyewe wanahesabika ,mnaharibu hela(Najua wengine hupata kuiba kwa miradi hio). Zanzibar hakustahili kujenga kanisa kila kona, yaani kila mtu mmoja ana kanisa lake. Yaani ukiangalia utaona nifamilia mojatu mtu na watoto wake ndio wanaingia kanisani ,agenda hii imegundulika.
Sio kosa lako. Kosa la dini yetu
 
huyu mama, ametetemeka baada ya kuvuliwa nguo...iweje kiuno na kichwa vikae Mtera, hala kiwiliwili ndio akilete same! kaona hapa wananchi / wapigakura wameamshwa usingizini....anatafuta ulinzi..Its too late
 
Huyu sasa anaiita M4C kwa nguvu hata kama hawakuwa na ratiba ya kupita jimboni kwake!

Chama cha msimu kinamsumbua nini jamani?

Hivi nchi hii ina sheria inayomzuia mwanasiasa yeyote kupita katika Jamhuri hii na kueleza sera zake za kisiasa?

Tena hjimbo la Same wanatakiwa wakae wiki nzima!...Amewadanganya siku nyingi watu wa jimbo lake kuwa analeta mitambo ya kusindika hoho na pilipili mbuzi!

Mkuu harakati zinazoendelea jimboni mwa mama huyu haponi mwaka 2015, ndiyo maana anatafuta pakushikia.
 
Tuwacheni tupumue ,tunaelewa karibu Tanganyika itakuwa nchi ya wanude na ili kuepuka ukoloni wacheni watu wanywe na kupiga gongo wanayiotaka ,yanini kuwakamata wakati hamuwasaidii kuwapa hela za kulewea ,huoni kama huo ni ukoloni wa kijinsia.
Kwa uwezo huu wa kufikiri Wakristo wataendelea kutawala ulimwengu milele
 
Mnataka kila mmoja awe na kanisa lake ,hivi unajenga kanisa katikati ya msitu unamaanisha nini kama sio kufanya fujo ,hilo kanisa lipo katika msitu wa makangale Pemba ,yaani hakuna hata mtu ,wakiristo wenyewe wanahesabika ,mnaharibu hela(Najua wengine hupata kuiba kwa miradi hio). Zanzibar hakustahili kujenga kanisa kila kona, yaani kila mtu mmoja ana kanisa lake.

Acha kupotosha!!
Msigwa,hajaongelea MAKANISA! Alichouliza,ni amri iliyotolewa ya kuto kuruhusu Mahoteli kuuza chakula na vinywaji mchana,au watu hata ambao si waislamu kula chakula hadharani,mchana! Wala hakutaja UKRISTO!
 
Duh, sjakwelewa mkuu, mgomo gani tena? Kusimamia utekelezaji wa sheria za nchi anayoiongoza?
 
Back
Top Bottom