Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,150
- 162,562
Leo hii spika Makinda ameunga mkono kauli ya mh. Wenje kuwa unatumika muda mwingi kutambulisha wageni bungeni.Kauli hii ya mh.Spika ni kinyume na kauli aliyoitoa naibu spika siku chache zilizopita baada ya mh.Wenje kuomba muongozo wa naibu spika Ndugai kuwa huwa unatumika muda mwingi kutambulisha wageni.Hata hivyo ktk majibu yake mh.Ndugai alipuuzia hoja hiyo na kusema huo utaratibu uko sahihi.Lakini leo mh. Spika ameunga mkono kauli hiyo ya mh. Wenje na kutaka kanuni za kutambulisha wageni zizingatiwe.