GHOST RYDER
JF-Expert Member
- Jun 10, 2011
- 1,025
- 475
uingizwaji wa dawa hizi hapa pamoja na nyingine ambazo hazina viwango, kunaonesha kuwa mipaka yetu inavuja, na tbs/tfda wapoTIBA ASILI:
Kuna mdau alitumia dawa za kuongeza nguvu za kiume huko Dar badala ya kuongeza nguvu mashine ikaongezeka kilo kumi na mbili, sasa pata picha hapo endapo akina mama wakiwa na ujauzito wa kilo 4 tu ni tabu kutembea
Hoja yake na madai ya msingi ni kuendelea kushamiri kwa Tiba sili bila wizara husika kuzinguza, hasa masai na Wachina.
kasema wanawake ndio waathirika wakubwa wa dawa za kuongeza nguvu za kiume............. eti mtu akishakula hizo dawa zake za kuongeza nguvu huwa ni vurugu tupu ndani..................... waheshimiwa wakavunjika mbavu.................