Bungeni: Halima Mdee aambiwa anacheza 'mbwa kachoka'

Bungeni: Halima Mdee aambiwa anacheza 'mbwa kachoka'

Aise wenye watoto wadogo wekeni mbali na TV wakati wa bunge!!! Siku moja watakuita mbwa kachoka, fu..ck.y you dada/mom, puppy, etc!! Maadili poromoka ndani ya chama tawala. Shameful!!
 
kama katukana ni vibaya. kusema anacheza mbwa kachoka si sawa na kusema yeye ni mbwa kachoka au yeye kama mbwa kachoka. huenda tunataka kukuza mambo.
 
Mbunge wa Viti Maalumu, Tawhida (CCM) anachangia sasa, anasema Halima Mdee anacheza "mbwa kachoka". Wataalamu wa lugha tusaidieni. NI mwendelezo wa matusi bungeni kutoka chama tawala.
mtu mwenyewe viti maalum ,achana nae
 
hapa labda labda Dr.Bana na watuambie na huyu afungiwe miaka migapi au atunukiwe hdhabu gani!
 
Nimemsikiliza yule mama Mzanzibari, ameongea mipasho tuuuu na taarabu bila hata kujenga hoja,
Kilichonishangaza zaidi anamzuia waziri aijibu hoja za wapinzani, na badala yake wapinzani wakitaka majibu wamfuate yeye,
Inavyoelekea huyo mama hajui hata nafasi na wajibu wake masikini!!, yuko pale kutetea serikali na waziri wake badala ya kuibana na kuihoji kwa manufaa ya wananchi, anajua kuwa ameingia bungeni ili kupambana na wapinzani. Pole zake!!.
 
Hebu wenye ukweli wa movie hii, tupeni chanzo cha matusi haya mbungeni hasa katika wakati huu.
 
CCM ni waasisi wa taarabu na mipasho bungeni.
Huyu Ana Makinda alisema kuwa kiti hakitamvumilia mtu yeyote atakayetumia lugha za kuudhi lakini cha kushangaza wabunge wa CCM wanatumia lugha za kuudhi ila Ana Makinda anakaa kimya mpaka wabunge wa upinzani waombe muongozo.
 
Back
Top Bottom