Mbwa kachoka ni ngoma maarufu kule zenj,jina lake halisi inaitwa beni,ila kwa jina lingine ni mbwa kachoka au kelbu taaban,hapo hajatukana anakusudia mdee anacheza ngoma ya asili,ila kuna maana ya methali za kiswahili kakusaudia hapo kumpiga dongo mdee.