Bunge: Zitto kulipwa mafao yake yote

Bunge: Zitto kulipwa mafao yake yote

Hakika anastahili kulipwa tena na bonusi apewe. Kwenye hilo bunge la 9 na 10 hivi nani aliyepiga kazi kumzidi Zito?

Naungana na wewe mkuu,Zitto amefanya kazi kubwa.Ni wapofu wa fikra pekee ambao hawautambui mchango wake.
 
Nikikumbuka jinsi Zitto alivyojolitoa mhanga kumfanyia Kampeni Wenje kule Mwanza, Nikikumbuka Jinsi alivyopiga kambi Tegeta kumsaidia kampeni Halima Mdee, Jinsi alivyotia nguvu kumsaidia kampeni Mnyika hapo Ubungo, Nikikumbuka jinsi alivyozunguuka na Dr Slaa takriban nchi nzima, halafu leo hii Hawa Chadema wamesahau hili, nashindwa kuwaelewa hawa watu ni watu wa namna gani.

Lakini Tatizo ni Tundu Lissu, huyu alikuwa akimuona Zitto kama kikwazo kwake Nyota yake kung'aa ndani na nje ya chama. Sasa tumuone kama ataweza kuvivaa viatu vya ZZK

Kujiita tu gamba la nyoka ni dalili tosha kuwa ……mm napita ila wapi wasaliti!!!
 
Zitto ana akili kuliko viongozi wote wa chadema pamoja na wanachama wao

mbona wengine wenye akili kidogo kiliko ya zittooo hujawabainisha je wale wenye akili kubwa kuliko ya zitoo mbona hukutuambia au ndio ukipenda unakuwa mteja
 
Nikikumbuka jinsi Zitto alivyojolitoa mhanga kumfanyia Kampeni Wenje kule Mwanza, Nikikumbuka Jinsi alivyopiga kambi Tegeta kumsaidia kampeni Halima Mdee, Jinsi alivyotia nguvu kumsaidia kampeni Mnyika hapo Ubungo, Nikikumbuka jinsi alivyozunguuka na Dr Slaa takriban nchi nzima, halafu leo hii Hawa Chadema wamesahau hili, nashindwa kuwaelewa hawa watu ni watu wa namna gani.

Lakini Tatizo ni Tundu Lissu, huyu alikuwa akimuona Zitto kama kikwazo kwake Nyota yake kung'aa ndani na nje ya chama. Sasa tumuone kama ataweza kuvivaa viatu vya ZZK[/QUOTE]

Tatizo si lissu gamba la nyoka tatizo ni tamaa za zzk. Aliingia Tamaa hadi kuamua kuanzisha chama wakati yeye ni mwanachama wa chama kingine. Alitumika sana na maccm kamuulize maswali moja au mawili alikuwa akilipwa billions of money toka ccm za nini???? Alishiriki kwa namna moja au nyingine mauaji ya wanachama wa CDM yaliyotokea sehem mbali x2.. kwa kujiuliza tu kwanini hakuwa pamoja na wenzie kwenye campaign zilizofuata eg. Ubunge Arumeru, madiwani arusha na sehem nyinginezo huyu ni msaliti tu hana jipya. Apite hivi
 
Mbona maelezo ya huyo msemaji wa bunge yanatia mashaka sana, hamna logic yoyote hapo.
Anasema kwa kuwa Zitto ametangaza kuachia ngazi ubunge wake hivyo atalipwa mafao yake yote ikiwemo kiinua mgongo!!!

Anataka kusema Ramadhani Ally Kihiyo, Rostam Aziz, Augustino Mrema, Monica Mbega, Fred Mpendazoe ambao waliwahi kutangaza kuachia ngazi ya ubunge kabla ya muda wao kwisha nao walilipwa mafao yao yote sawa sawa na wabunge wengine?

Hii kali tena kali ya karne, yaani mfanyakazi aache kazi mwenyewe na hapo hapo mwajiri wake aseme atamlipa mafao yake yote kama mtu aliyetaafu.

Hizi "miscalculation" zao ndio zinadhihirisha ZZK ni mtu wao.

Najaribu kukumbuka namna CCJ ilivyokosa usajili na namna ACT ilivyopata usajili haraka. Najaribu kupata picha ingekuwa vipi Lissu au Lema ndio wangekua wamefukuzwa na chama chao kama wangepewa na Spika nafasi ya "kulihutubia/kuaga" bunge.

Something is wrong somewhere...Common sense inasema kuna shida hapa
Huyu ZZK hafai kabisa...
 
Na hii imefanywa hivi ili leticia na arfi Au shibuda wakinfuata Jamaa wawe na uhakika wa mafao
 
Safi sana, bora ametumia akili ya kujiuzulu kulilo kusubiri hao wendawazimu wamtinue.
 
Nikikumbuka jinsi Zitto alivyojolitoa mhanga kumfanyia Kampeni Wenje kule Mwanza, Nikikumbuka Jinsi alivyopiga kambi Tegeta kumsaidia kampeni Halima Mdee, Jinsi alivyotia nguvu kumsaidia kampeni Mnyika hapo Ubungo, Nikikumbuka jinsi alivyozunguuka na Dr Slaa takriban nchi nzima, halafu leo hii Hawa Chadema wamesahau hili, nashindwa kuwaelewa hawa watu ni watu wa namna gani.

Lakini Tatizo ni Tundu Lissu, huyu alikuwa akimuona Zitto kama kikwazo kwake Nyota yake kung'aa ndani na nje ya chama. Sasa tumuone kama ataweza kuvivaa viatu vya ZZK
Gamba la nyoka wa KIJANI na NJANO
 
Mbona maelezo ya huyo msemaji wa bunge yanatia mashaka sana, hamna logic yoyote hapo.
Anasema kwa kuwa Zitto ametangaza kuachia ngazi ubunge wake hivyo atalipwa mafao yake yote ikiwemo kiinua mgongo!!!

Anataka kusema Ramadhani Ally Kihiyo, Rostam Aziz, Augustino Mrema, Monica Mbega, Fred Mpendazoe ambao waliwahi kutangaza kuachia ngazi ya ubunge kabla ya muda wao kwisha nao walilipwa mafao yao yote sawa sawa na wabunge wengine?

Hii kali tena kali ya karne, yaani mfanyakazi aache kazi mwenyewe na hapo hapo mwajiri wake aseme atamlipa mafao yake yote kama mtu aliyetaafu.

Michadema c ndo imemvua uanachama, hakujivua yy na kwa sababu katumikia wananchi ni lazima apewe stahiki zake, yaa kumfukuza mumfukuze lakini bado mnamfuatilia tuuu, yaani mnataka hadi mafao yake asipate duuu, watu mnaroho mbayaaa.
 
Nikikumbuka jinsi Zitto alivyojolitoa mhanga kumfanyia Kampeni Wenje kule Mwanza, Nikikumbuka Jinsi alivyopiga kambi Tegeta kumsaidia kampeni Halima Mdee, Jinsi alivyotia nguvu kumsaidia kampeni Mnyika hapo Ubungo, Nikikumbuka jinsi alivyozunguuka na Dr Slaa takriban nchi nzima, halafu leo hii Hawa Chadema wamesahau hili, nashindwa kuwaelewa hawa watu ni watu wa namna gani.

Lakini Tatizo ni Tundu Lissu, huyu alikuwa akimuona Zitto kama kikwazo kwake Nyota yake kung'aa ndani na nje ya chama. Sasa tumuone kama ataweza kuvivaa viatu vya ZZK

acha kudanganya watu ndg,wenje mwenyewe alisema zitto alikataa kumfanyia kampeni alipomwalika eti kisa ana urafki na masha.km kitu hujui kaa kimya kuliko kuleta propaganda
 
Nikikumbuka jinsi Zitto alivyojolitoa mhanga kumfanyia Kampeni Wenje kule Mwanza, Nikikumbuka Jinsi alivyopiga kambi Tegeta kumsaidia kampeni Halima Mdee, Jinsi alivyotia nguvu kumsaidia kampeni Mnyika hapo Ubungo, Nikikumbuka jinsi alivyozunguuka na Dr Slaa takriban nchi nzima, halafu leo hii Hawa Chadema wamesahau hili, nashindwa kuwaelewa hawa watu ni watu wa namna gani.

Lakini Tatizo ni Tundu Lissu, huyu alikuwa akimuona Zitto kama kikwazo kwake Nyota yake kung'aa ndani na nje ya chama. Sasa tumuone kama ataweza kuvivaa viatu vya ZZK

Hata Yuda Isakariote alikuwa mtu muhimu sana kwa Yesu mpaka akaaminiwa kuwa mtunza Fedha.Alihangaika sana kuhakikisha Fedha zinakuwa salama na wanakula na kusaza lakini alipowasaliti wenzake alitengwa na wenzake mwishowe akajinyonga.Dhambi ya usaliti haina Rafiki.Hata Nyerere baadaye alimfukuza Kambona aliyemwokoa katika Maasi ya Wanajeshi 1964.Msaliti anabaki kuwa Msaliti tu.
 
Unaliwa 0713.....
 
Nikikumbuka jinsi Zitto alivyojolitoa mhanga kumfanyia Kampeni Wenje kule Mwanza, Nikikumbuka Jinsi alivyopiga kambi Tegeta kumsaidia kampeni Halima Mdee, Jinsi alivyotia nguvu kumsaidia kampeni Mnyika hapo Ubungo, Nikikumbuka jinsi alivyozunguuka na Dr Slaa takriban nchi nzima, halafu leo hii Hawa Chadema wamesahau hili, nashindwa kuwaelewa hawa watu ni watu wa namna gani.

Lakini Tatizo ni Tundu Lissu, huyu alikuwa akimuona Zitto kama kikwazo kwake Nyota yake kung'aa ndani na nje ya chama. Sasa tumuone kama ataweza kuvivaa viatu vya ZZK

Wewe unaamini ukifanya mema mengi unaruhusiwa kufanya upuuzi? Kwani waliofungwa hawajawahi kutenda mema? Unamfahamu Oscar Kambona na nguvu yake kisiasa ktk nchi hii ilikuwaje?

Let him go! Sema na jinsi alivyouza nafasi katavi kwa pinda. Kumbuka mambo yake ya kutetea upuuzi wa Tanesco. Utaamuaje kuvuna mema tuuu na kujidai kwamba hajawahi kudhalilisha chama na hata nchi?
 
Nikikumbuka jinsi Zitto alivyojolitoa mhanga kumfanyia Kampeni Wenje kule Mwanza, Nikikumbuka Jinsi alivyopiga kambi Tegeta kumsaidia kampeni Halima Mdee, Jinsi alivyotia nguvu kumsaidia kampeni Mnyika hapo Ubungo, Nikikumbuka jinsi alivyozunguuka na Dr Slaa takriban nchi nzima, halafu leo hii Hawa Chadema wamesahau hili, nashindwa kuwaelewa hawa watu ni watu wa namna gani.

Lakini Tatizo ni Tundu Lissu, huyu alikuwa akimuona Zitto kama kikwazo kwake Nyota yake kung'aa ndani na nje ya chama. Sasa tumuone kama ataweza kuvivaa viatu vya ZZK

Aiseee usirudie kudanganya hapa, ZZK hajamfanyia wenje kampeni, tena alimjibu hawezi vile ni Marsha ni rafiki yake na anamweshimu. NILIKUWA MWANZA Kipindi chote acha kudanganya kabisa wewe. WENJE ALIPASUA KWA NGUVU ZAKE NA ZA SLAA akipiga kampeni kuwania urais
 
Zitto ana akili kuliko viongozi wote wa chadema pamoja na wanachama wao

Huo ni Ujinga kwa kutoa urguements za aina hii. Stop this, Nonesense if you want to be respected , So Waweza Kumzawadia dada yako ili azae nae upate mjomba mwenye akili.
 
Kwa nini asilipwe mafao yake wakati anaendelea kuwafanyia kazi wana ccm? Hana tofauti na Mrema kazi yake kubwa ni kuudhoofisha upinzani, na hicho chama kikiimarika lazima akibomoe na asonge mbele!
 
Acha uongo wewe... Wote tuliona jinsi ambavyo ZZK alivyokuwa busy kumpigia kampeni JK na Kafulila huku akitumia rasilimali za chama... Ukiwa muongo kuwa na kumbukumbu ...
Nikikumbuka jinsi Zitto alivyojolitoa mhanga kumfanyia Kampeni Wenje kule Mwanza, Nikikumbuka Jinsi alivyopiga kambi Tegeta kumsaidia kampeni Halima Mdee, Jinsi alivyotia nguvu kumsaidia kampeni Mnyika hapo Ubungo, Nikikumbuka jinsi alivyozunguuka na Dr Slaa takriban nchi nzima, halafu leo hii Hawa Chadema wamesahau hili, nashindwa kuwaelewa hawa watu ni watu wa namna gani.

Lakini Tatizo ni Tundu Lissu, huyu alikuwa akimuona Zitto kama kikwazo kwake Nyota yake kung'aa ndani na nje ya chama. Sasa tumuone kama ataweza kuvivaa viatu vya ZZK
 
kwa nini the most effective mbunge, asilipwe mafao yake, wakati kawatumikia wananchi bungeni kwa kiwango kisicho na kifani?. Anastahili sana, tena kama kuna bonasi nayo pia apewe ili kuwapa motisha wabunge kuchapa kazi kama yeye

hakuna bonus, ila ifike muda kuwe na performance based gratuity, ili wabunge wawe active kufanya kazi zao. sio kukaa miaka 5 na kusubiri paycheck.
 
Back
Top Bottom