Nasikia harufu ya Gaidiiii!!!
kichwa cha Nape! nilikuwa nite shift mkuu mimi ni mlinzi
Tanzania Tunawakilishwa na nan????
unaelewa ulichoandika? kura ngapi zimeibwa?'walioibiwa' kura wako SA wanapanga mikakati ni jinsi gani warudi, you wait!!!View attachment 89592CORD leaders Raila Odinga, Kalonzo Musyoka and Moses Wetangula relax away in Johannesburg, South Africa where they travelled for a post-election retreat.
source
Salaam,
Karibu usikilize sherehe za kuapishwa Rais Mpya wa Jamuhuri ya Kenya Bw. Uhuru Kenyatta leo jijini Nairobi.
Pia usikose kusikiliza Vipindi vyote vya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kila siku kuanzia saa 3as.
ILI kusikiliza tembelea: www.arushamambofmradio.co.tz
Karibu Usikilize.
Kwa maoni wasiliana nasi kwa info@arushamambo.com
Kwa Hisani ya Arusha Mambo
Naona wanapongeza sana c unajua jamaa alimsaidia kuingia madarakani chini ya uongozi jangili kinana.
lugha gani hii???uluru ndiyo anaingia sasa pampas na margaret's
Tanzania Tunawakilishwa na nan????