Dr. Vasco Da Gama a.k.a FastJej a.k.a Jah Kaya na wakeze..,Tanzania Tunawakilishwa na nan????
Dr. Vasco Da Gama a.k.a FastJej a.k.a Jah Kaya na wakeze..,
Acha maswali ya kipuuzi, wewe Hufanyi kazi? Muda wa kazi unaangalia Bunge?
Acha maswali ya kipuuzi, wewe Hufanyi kazi? Muda wa kazi unaangalia Bunge?
Mh. Rais wetu hayupo hapo?Zuma ndo anaingia hapa.
ULURU ndio kidudu gani hicho?Uluru ndiyo anaingia sasa pampas na Margaret's
Vp kamanda Mugabe atakuwepo hapo?Je Bashir inakuwaje?
Hv hakuna chennel ya bongo inayoonyesha live?