Hakika kabisa, hao uliotaja wanahusika moja kwa moja, na amini usiamini lazima ni wa CCM wote!Na ni lazima Wasira + Komba ndiyo wanaunda hicho kitu!
Wapuuzi kweli kweli!
Hakika kabisa, hao uliotaja wanahusika moja kwa moja, na amini usiamini lazima ni wa CCM wote!
Hakika hoja hiyo ikifanyiwa kazi wananchi tunapaswa kuonyesha live kuwa hatukubali upopompo huo!...
Spika wa Bunge amesema kuwa baadhi ya wabunge wanaandaa hoja ya kuzuia vipindi vya Bunge kuonyeshwa LIVE kwa wananchi!
Ninavyochukulia: Huku ni kulewa Madaraka!...Wanataka wachape usingizi bila kuhojiwa na wapiga kura hawa!
CHANZO: Gazeti la Mtanzania leo 13/08/2012
Hakika kabisa, hao uliotaja wanahusika moja kwa moja, na amini usiamini lazima ni wa CCM wote!
Hakika hoja hiyo ikifanyiwa kazi wananchi tunapaswa kuonyesha live kuwa hatukubali upopompo huo!...
Sijawahi kuandamana miaka ya hivi karibuni lakini yakiitishwa maandamano ya kupinga hii hoja mimi Kimbunga nitashika bango na kuwa mstari wa mbele. Hawa wabunge wetu wamepatwa na nini? Karne hii ya utandawazi, uwazi na uhuru wa kupata habari wao wanataka kutunyima kujua wanatuwakilishaje? Hivi wamesahau kwamba sisi ndio tumewatuma na tunatakiwa tujue wanatuwakulisha vipi? Wanataka kufanya siri?
Ama kweli madaraka kitu kibaya sana. Mtu akiitwa mheshimiwa basi anadhani anaweza kufanya analotaka? Mimi binafsi nataka tuendelee kupata habari za kibunge LIVE bila Chenga. Kama hawatimizi wajibu ipasavyo tuwaone wasitake kujificha.
Mkuu PakaJimmy yeyote atakayefanya ama anayefikiria hilo ni wa kulaani awe wa CCM ama CDM au NCCR ama CUF. Mbona Mrema naye aliwahi kuonyeshwa akipata tano bora!
Mimi nadhani ndio lile dai la Naibu spika kuwa WABUNGE WENGI WANAINGIA BUNGENI WAKIWA WAMELEWA POMBE NA SIGARA KALI KALI.Hoja ya hawa MPs wetu haina mashiko kabisa! Wanataka wapitishe mambo yao kule mjengoni sie bila kujua. Nonsense!
Kimbunga mimi sitaandamana kwanza, nitakwenda Mbeya wanipe mbinu za kupopoa viongozi, ushanfahamu!Sijawahi kuandamana miaka ya hivi karibuni lakini yakiitishwa maandamano ya kupinga hii hoja mimi Kimbunga nitashika bango na kuwa mstari wa mbele. Hawa wabunge wetu wamepatwa na nini? Karne hii ya utandawazi, uwazi na uhuru wa kupata habari wao wanataka kutunyima kujua wanatuwakilishaje? Hivi wamesahau kwamba sisi ndio tumewatuma na tunatakiwa tujue wanatuwakulisha vipi? Wanataka kufanya siri?
Ama kweli madaraka kitu kibaya sana. Mtu akiitwa mheshimiwa basi anadhani anaweza kufanya analotaka? Mimi binafsi nataka tuendelee kupata habari za kibunge LIVE bila Chenga. Kama hawatimizi wajibu ipasavyo tuwaone wasitake kujificha.
Mimi nadhani ndio lile dai la Naibu spika kuwa WABUNGE WENGI WANAINGIA BUNGENI WAKIWA WAMELEWA POMBE NA SIGARA KALI KALI.
This is too abnormal!
na swahiba wake WASSIRAkomba lazima atakuwepo kwenye list.