Bunge linamjadili mtu kwa uchungu kuliko kujadili yanavyoumiza wananchi

Ukifatilia jinsi wabunge wanvyo mjadili mtu unashindwa kuelewa hawa wawakilishi walitumwa nini huko bungeni. Swala la tozo linaumiza mwananchi Hakuna hata wa kuligusia lakini ukisikia wanavyomjadili slaa na gwajima utafikiri ndo hayo waliomba kura wakayajadili huko bungeni.
WABUNGE LIPENI KODI acheni bla bla zenu

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Wanaongea ili mwenyekiti awaone wajihakikishie ulaji.
Mambo ya wananchi si kitu kwao,ni watu wa mishahara.
Ukiangalia wanayowapigania hata wananchi hawana habari nayo, Kama ni chanjo hata Amna mwananchi mwenye shida nayo ni wachache Sana wanashida na chanjo make wange kuwa na shida nayo hizo chanjo milioni singeshaisha, kwa kuwa wananchi hawana shida nazo hata laki tatu hazijaisha.
 
Ukifatilia jinsi wabunge wanvyo mjadili mtu unashindwa kuelewa hawa wawakilishi walitumwa nini huko bungeni. Swala la tozo linaumiza mwananchi Hakuna hata wa kuligusia lakini ukisikia wanavyomjadili slaa na gwajima utafikiri ndo hayo waliomba kura wakayajadili huko bungeni.
Hukumu yao 2025
 
Wameguswa interests zao, lazima wang'ake!!
 
Tuwapate watu kama kina gwajima 50,hamza 50,slaa 50 nadhani tutakuwa pahala patamu kama kuna mwingine unadhani awe na wa aina yake 50 muongeze kwenye list tafadhali
 
Kuanzia Rais hadi wabunge hamna kitu,tulipigwa hapa inshu zinazohusu ustawi wa afya ya Taifa hawajadili, maumivu kwa wananchi juu ya tozo,kupanda bei kwa mafuta ya petrol na Diesel hawaongei,lakini yameguswa kwenye maslahi yao wameng'aka misili ya Simba mwenye njaa,ni bunge la kipumbavu na la kijinga,Ndugai mshenzi sana,kati ya mijitu mijinga isiyotumia akili na busara ni Ndugai!
 
Waalimu wa shule za msingi na sekondari watendaji wa vijiji na wale wa kata na mitaaa na vijana mamluki wa UVCCM ndo wanajua siri iliofanyika kwenye uchaguzi mkuu. Acha sasa dhambi ile walioifanya itutafune.
Maana wabunge waliopo hakuna mwenye aliyepita kwa haki. Nawakumbusha HAKI ni neno la MUNGU limeasisiwa na MUNGU mwenyewe kwa hiyo unapochezea HAKI hakika huna tofauti na BELSHAZA MFALME alipochezea vyombo vya hekalu. Corona mzee baba mwaga moto. Watapungua taratibu tuu hadi waseme wamekosea wapi.
 
Hakuna cha bunge wale wahuni tu.
Kazi ya miaka mitano mtu anatoka na fuko la hela ambazo mtumishi wa umma tuseme Mkurugenzi aliyehudumu 30 years hawezi kupata, huu si wizi kabisa?

Wajanja wale wanakaa kikao kumuonya Jerry kwamba kasema uongo wakati Jerry nae ni Mbunge kama wao, katika vikao vya kujadili wanalipana DSA ya kutosha, hii nchi hatutoboi mpaka siku tukiacha uhuni kwenye matumizi ya kodi za walala hoi.

Naiomba Corona iendelee kutembea bega kwa bega na wazee wahuni wanaoihujumu nchi
 
Back
Top Bottom