bunge limefurika

Kirode

JF-Expert Member
Mar 25, 2011
3,566
82
habari wanajamvi, naangalia bunge sasa ivi mh spika amechukua zaidi ya dk.10 kutangaza wageni waliopo ndani
kwa leo na hisi ni wengi kuliko wabunge na pia nahisi mh.spika anapendaga sana hiki kipindi cha kutambulisha
wageni huwa anaraha sana na anaongea sana ......karibuni
 
asanteeee.... msome kwa bidiiiii.... taifa linawategemea.... kuna mgeni wa mheshimiwa mwigulu... mkewe mama nyilu.... karibu....... huwa ni upupuuu tupu!
 
mama yetu mpendwa sana, Mbunge wa Njombe aliyeweka historia kwa kuwa Spika wa kwanza mwanamke. We acha tu!!!
 
sasa kama hawana kazi za kufanya si lazima wafanye huo upumbavu wao maana wanajua kabisa hata kama kitu kimeoza watakubaliana tu kukipitisha.
 
Ni tanzania tu katika ulimwengu unaweza kuona mambo ya ajabu na hakuna wa kukemea....
 
Back
Top Bottom