johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,013
- 142,052
kwani uchaguzi wa 2020 tayari?Hao niliowataja ni wabunge wenye ujasiri wasiokumbatia " sana " itikadi wawapo bungeni.
Lakini wabunge kama Bashe, Zitto na Lisu wamekuwa ni chachu ya kuifanya mijadala ya bungeni iwe na uhai kwa sababu wanatiririka kwa data.
Nimejaribu kuifanya tathmini fupi katika majimbo yao na ndani ya vyama vyao kiukweli watu hawa tunaweza kuwakosa mjengoni katika bunge lijalo. Mathalani pale kwa Sugu yupo Tulia, pale Mtera yupo Malecela jr aka le mutuz nk nk
Kwa uchache hawa ni miongoni mwa wabunge mahiri tutakaowakosa japokuwa hata mchungaji Msigwa kama CCM watatenda haki kwenye kura za maoni naye hatarudi.
Niishie hapo
Maendeleo hayana vyama!
Hao niliowataja ni wabunge wenye ujasiri wasiokumbatia " sana " itikadi wawapo bungeni.
Lakini wabunge kama Bashe, Zitto na Lisu wamekuwa ni chachu ya kuifanya mijadala ya bungeni iwe na uhai kwa sababu wanatiririka kwa data.
Nimejaribu kuifanya tathmini fupi katika majimbo yao na ndani ya vyama vyao kiukweli watu hawa tunaweza kuwakosa mjengoni katika bunge lijalo. Mathalani pale kwa Sugu yupo Tulia, pale Mtera yupo Malecela jr aka le mutuz nk nk
Kwa uchache hawa ni miongoni mwa wabunge mahiri tutakaowakosa japokuwa hata mchungaji Msigwa kama CCM watatenda haki kwenye kura za maoni naye hatarudi.
Niishie hapo
Maendeleo hayana vyama!
Ya Mungu mengi unaweza na wewe usiwepo duniani kuona haya unayowatakia wenzako, hata huyo "mungu" anaweza asiwepo, you never know!Hao niliowataja ni wabunge wenye ujasiri wasiokumbatia " sana " itikadi wawapo bungeni.
Lakini wabunge kama Bashe, Zitto na Lisu wamekuwa ni chachu ya kuifanya mijadala ya bungeni iwe na uhai kwa sababu wanatiririka kwa data.
Nimejaribu kuifanya tathmini fupi katika majimbo yao na ndani ya vyama vyao kiukweli watu hawa tunaweza kuwakosa mjengoni katika bunge lijalo. Mathalani pale kwa Sugu yupo Tulia, pale Mtera yupo Malecela jr aka le mutuz nk nk
Kwa uchache hawa ni miongoni mwa wabunge mahiri tutakaowakosa japokuwa hata mchungaji Msigwa kama CCM watatenda haki kwenye kura za maoni naye hatarudi.
Niishie hapo
Maendeleo hayana vyama!
Hahahaa......umeshapanic!Ya Mungu mengi unaweza na wewe usiwepo duniani kuona haya unayowatakia wenzako, hata huyo "mungu" anaweza asiwepo, you never know!
Duuh, hilijibu kwa sie wacheza karate tunaita pigo la Jiaoping!Ya Mungu mengi unaweza na wewe usiwepo duniani kuona haya unayowatakia wenzako, hata huyo "mungu" anaweza asiwepo, you never know!
Litakuwa bunge bora kabisa kuwahi kutokea bila wanafki
Mnawaza uchaguzi 2020 mmeshamaliza kutekeleza ahadi mlizotoa 2015?Hao niliowataja ni wabunge wenye ujasiri wasiokumbatia " sana " itikadi wawapo bungeni.
Lakini wabunge kama Bashe, Zitto na Lisu wamekuwa ni chachu ya kuifanya mijadala ya bungeni iwe na uhai kwa sababu wanatiririka kwa data.
Nimejaribu kuifanya tathmini fupi katika majimbo yao na ndani ya vyama vyao kiukweli watu hawa tunaweza kuwakosa mjengoni katika bunge lijalo. Mathalani pale kwa Sugu yupo Tulia, pale Mtera yupo Malecela jr aka le mutuz nk nk
Kwa uchache hawa ni miongoni mwa wabunge mahiri tutakaowakosa japokuwa hata mchungaji Msigwa kama CCM watatenda haki kwenye kura za maoni naye hatarudi.
Niishie hapo
Maendeleo hayana vyama!
Nitajie ahadi moja tu ambayo haijatekelezwa!Mnawaza uchaguzi 2020 mmeshamaliza kutekeleza ahadi mlizotoa 2015?
Ya Mungu mengi unaweza na wewe usiwepo duniani kuona haya unayowatakia wenzako, hata huyo "mungu" anaweza asiwepo, you never know!
Yes! hivyo usiwatakie wenzako mabaya, yatakugeukia wewe, mara nyingi mungu wa kweli huwa analeta kinyume cha maombi mabaya... yana backfire!Kweli kabisa, mimi na wewe tunaweza tusiwepo! Ya MUNGU mengi na huwa hayatabiriki. Aijuaye kesho ya yeyote ni MUNGU tu. Tunaishi kwa neema tu!
Kwa hiyo waropokaji ndo mashujaa? Sna haja ya kushabikia wanasiasa wa aina hii. Nawashabikia sanawakulima wa Pamba na Korosho ambao hawana utapeli kama hawa unaowamisi. Unawahitaji wakuchangamshe kitu gani?Hao niliowataja ni wabunge wenye ujasiri wasiokumbatia " sana " itikadi wawapo bungeni.