Bunge lijalo 2020 bila Lissu, Bashe, Zitto, January, Nape, Sugu, Mdee na Kibajaji kwakweli linaweza kupooza

Litakuwa bunge bora kabisa kuwahi kutokea bila wanafki

Hilo bunge litakuwa kama nyumba ya ibada iliyompata Nabii mpya aitwaye Magufuli. Ni bunge litakalokuwa linaangaliwa na wajinga wengi huku werevu wakishindwa kuamini macho yao.
 
Kwa hiyo waropokaji ndo mashujaa? Sna haja ya kushabikia wanasiasa wa aina hii. Nawashabikia sanawakulima wa Pamba na Korosho ambao hawana utapeli kama hawa unaowamisi. Unawahitaji wakuchangamshe kitu gani?

Waropokaji kwa tafsiri ya viongozi wezi wenye madaraka. Ukisikia mbunge ni mropokaji kwa tafsiri ya watu wanaoishi kwa kutegemea fadhila ya wenye madaraka, basi ujue ni pale kiongozi anayemsujidia kuambiwa ukweli mchungu.
 
Mtu aliyekosa aibu na ana ushujaa wa kutojali kuzomewa ndo unawaita wanasiasa. Hawa wako ktk ajira, FINITO. Wako Bungeni kama ajira, na hakuna jingine. Kama unadhani wako kule kukutetea basi ni tatizo maanasiwezi tetewa na mtu ambaye ubora wake namzidi.

Hayo ni upinzani na CCM watu bora ni wachache sana! Ukitaka kujua uchache wa watu bora angalia wale walio nafuu ambao wamepewa uwaziri walivyo. Jiulize walioachwa wakoje? Haijalishi upinzani wala wapi!
 
Nilichojifunza kupitia Bunge hili, kumbe uhai na uimara wa Bunge hutegemea sana msimamo na mtazamo wa Spika. Hao waliotajwa wote wapo kwa sasa lakini miswada yote iliyopelekwa bungeni hata ile mibovu kupitiliza yote imepita, hakuna hoja zao zilizoweza kufurukuta, michango yao ni kama yalikuwa makelele kwa kipaza sauti na mdogo wake

Ili tuwe na Bunge imara, inatakiwa Spika asiwe mwanasiasa wa chama chochote. Na hapa naona kama akiwa Jaji itapendeza zaidi. Ila hawa wanasiasa wanaoalikwa chai na wachina halafu wanashangaa serikali kukataa bandari ya Bagamoyo, baadae wanasema kumbe chai iliwalevya, hakuna lolote.

Spika wa Bunge anatakiwa awe kama taasisi isiyoyumbishwa na upepo wa siasa. Yaani asiwe pale huku anawaza waza asipotetea chama chake itakuwaje!? Tukifika hapa hakika tutakuwa na Bunge imara na serikali itawajibika ipasavyo
 
Sie wengine maombi yetu ni mkuu aresti inpisi. Nisife bila kuona ccm ikiwa chama cha upinzani.
 
Pamoja na mambo ya hovyoooo ccm iliyoyafanya baada ya Nyerere lakini hii ndoto yako ikashindikana 2015 sioni matumaini mbeleni

Sielewi ni watu wanawahi kusahau au vipi lakini 2015 ccm iligoma kuachia dola basi hakuna muda ccm itaachia dola hivi karibuni.
 
Mtu aliyekosa aibu na ana ushujaa wa kutojali kuzomewa ndo unawaita wanasiasa. Hawa wako ktk ajira, FINITO. Wako Bungeni kama ajira, na hakuna jingine. Kama unadhani wako kule kukutetea basi ni tatizo maanasiwezi tetewa na mtu ambaye ubora wake namzidi.

Hayo ni upinzani na CCM watu bora ni wachache sana! Ukitaka kujua uchache wa watu bora angalia wale walio nafuu ambao wamepewa uwaziri walivyo. Jiulize walioachwa wakoje? Haijalishi upinzani wala wapi!

Nitajie kiongozi yoyote kuanzia rais ambaye yuko kwenye nafasi aliyopo kwa kujitolea na sio ajira. Sihitaji kutetewa maana mimi sio ukoma, nanichojua kuna mgawanyo wa madaraka na wabunge wako kupanga matumizi sahihi ya mgawanyo wa keki ya taifa. Kupewa uwaziri ndio kuonekana ww ni nafuu? Halafu huyo anayewapa uwaziri ana usafi gani?
 
Hahadi ambayo bado ni Tshs 50,000,000/= kila kijiji je unalo jibu!!
Mzee Manguto huko Disoma hapandi Dreamlinner!!
 
Nitajie kiongozi yoyote kuanzia rais ambaye yuko kwenye nafasi aliyopo kwa kujitolea na sio ajira. Sihitaji kutetewa maana mimi sio ukoma, nanichojua kuna mgawanyo wa madaraka na wabunge wako kupanga matumizi sahihi ya mgawanyo wa keki ya taifa. Kupewa uwaziri ndio kuonekana ww ni nafuu? Halafu huyo anayewapa uwaziri ana usafi gani?
Genetically weak! Ni lazima nchi iwe na Bunge? Kuna nchi haina Rais au mkuu wa nchi?
 
Hao niliowataja ni wabunge wenye ujasiri wasiokumbatia " sana " itikadi wawapo bungeni.

Lakini wabunge kama Bashe, Zitto na Lisu wamekuwa ni chachu ya kuifanya mijadala ya bungeni iwe na uhai kwa sababu wanatiririka kwa data.

Nimejaribu kuifanya tathmini fupi katika majimbo yao na ndani ya vyama vyao kiukweli watu hawa tunaweza kuwakosa mjengoni katika bunge lijalo. Mathalani pale kwa Sugu yupo Tulia, pale Mtera yupo Malecela jr aka le mutuz nk nk

Kwa uchache hawa ni miongoni mwa wabunge mahiri tutakaowakosa japokuwa hata mchungaji Msigwa kama CCM watatenda haki kwenye kura za maoni naye hatarudi.

Niishie hapo

Maendeleo hayana vyama!
Magufuri anataka aturudishe enzi za bunge la chama kimoja,, sasaivi mnafurahia nynyi mashabiki maslai wa ccm, ila mtakuja kulia baada ya mwaka 2020
 
Yaan hata halitakuwa na changamoto
 
Watakuja wengine. Usiogope Tanzania ina vipaji vingi sana. Tuzitegemee upande mmoja tu. Utashangaa sana. Uzuri wa magufuli naweka njia vijana wazuri qatagombea na watashinda

Kwahiyo wewe ndio utapiga kura kila jumbo ulilolitaja uwaangushe wabunge tajwa ?Au wapiga kura hayo majimbo umeongea naona wakakwambia hawatawachagua tena .
 
Magufuri anataka aturudishe enzi za bunge la chama kimoja,, sasaivi mnafurahia nynyi mashabiki maslai wa ccm, ila mtakuja kulia baada ya mwaka 2020
Kwa kuwa anajua kuwa Tume ya uchaguzi ni ya CCM na Polisi vile vile ni wa CCM

Kwa hiyo hata CCM wakiweka mgombea mbovu vipi, lakini wanajua atapita kwa "mbeleko" ya Tume na Poiisi
 
Watakuja wengine. Usiogope Tanzania ina vipaji vingi sana. Tuzitegemee upande mmoja tu. Utashangaa sana. Uzuri wa magufuli naweka njia vijana wazuri qatagombea na watashinda

Kwenye siasa za kujipendekeza na dhuluma usitegemee vijana wazuri bali waabudu vyeo na genge la kumsujudia.
 
Kwa kuwa anajua kuwa Tume ya uchaguzi ni ya CCM na Polisi vile vile ni wa CCM

Kwa hiyo hata CCM wakiweka mgombea mbovu vipi, lakini wanajua atapita kwa "mbeleko" ya Tume na Poiisi
hatari sn, wanaofurahi nchi kurudishwa mfumo wa chama kimoja, watakuja kutafuta pakuweka sura zao
 
Back
Top Bottom