johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,904
- 141,855
Hao niliowataja ni wabunge wenye ujasiri wasiokumbatia " sana " itikadi wawapo bungeni.
Lakini wabunge kama Bashe, Zitto na Lisu wamekuwa ni chachu ya kuifanya mijadala ya bungeni iwe na uhai kwa sababu wanatiririka kwa data.
Nimejaribu kuifanya tathmini fupi katika majimbo yao na ndani ya vyama vyao kiukweli watu hawa tunaweza kuwakosa mjengoni katika bunge lijalo. Mathalani pale kwa Sugu yupo Tulia, pale Mtera yupo Malecela jr aka le mutuz nk nk
Kwa uchache hawa ni miongoni mwa wabunge mahiri tutakaowakosa japokuwa hata mchungaji Msigwa kama CCM watatenda haki kwenye kura za maoni naye hatarudi.
Niishie hapo
Maendeleo hayana vyama!