Bunge letu si bunge tukufu

Well written!! Nafikiri heading imeshindwa kuvuta watu!!

However, tatizo letu Wabongo ni ubinafsi na uvivu wa kufikiri. Ubinafsi unakuja kutokana na jinsi mikataba ya ovyo tuliyoingizwa na akina Mzee wa Vijisenti kuvikia mahali these guys they do not feel any remose na inaelekea huwa wanajipongeza kwa kazi walivyoifanyia nchi hii.

Uvivu wa kufikiri unakuja pale ninapoona bia na sigara ndiyo kimekuwa chanzo cha mapato ya nchi hii miaka nenda miaka rudi. Wawekezaji wao ni kuleta ajira tu siyo kusaidia kuongeza pato la Taifa.
 
Dr kigwangala Hamis,, Said bagaile? kwa kuwa yumo humu hpe atatufafanulia hii maneno imekaaje pamoja na wabunge wengine kama Mtema R

nimewapa lakini bado wana kigugumizi............
 
Well written!! Nafikiri heading imeshindwa kuvuta watu!!

However, tatizo letu Wabongo ni ubinafsi na uvivu wa kufikiri. Ubinafsi unakuja kutokana na jinsi mikataba ya ovyo tuliyoingizwa na akina Mzee wa Vijisenti kuvikia mahali these guys they do not feel any remose na inaelekea huwa wanajipongeza kwa kazi walivyoifanyia nchi hii.

Uvivu wa kufikiri unakuja pale ninapoona bia na sigara ndiyo kimekuwa chanzo cha mapato ya nchi hii miaka nenda miaka rudi. Wawekezaji wao ni kuleta ajira tu siyo kusaidia kuongeza pato la Taifa.

ni kweli kabisa............na jamaa zetu hawa hawana majibu ya maswali ya kimsingi...........kazi yao ni kuiga tu...........
 
Well written!! Nafikiri heading imeshindwa kuvuta watu!!

However, tatizo letu Wabongo ni ubinafsi na uvivu wa kufikiri. Ubinafsi unakuja kutokana na jinsi mikataba ya ovyo tuliyoingizwa na akina Mzee wa Vijisenti kuvikia mahali these guys they do not feel any remose na inaelekea huwa wanajipongeza kwa kazi walivyoifanyia nchi hii.

Uvivu wa kufikiri unakuja pale ninapoona bia na sigara ndiyo kimekuwa chanzo cha mapato ya nchi hii miaka nenda miaka rudi. Wawekezaji wao ni kuleta ajira tu siyo kusaidia kuongeza pato la Taifa.

Tatizo siyo title bali attitude zetu..Mpaka title iwe na neno la contemporary issues kama Ufisadi; Maandamano; Live kutoka TV stations; fulani kaumwa/lishwa sumu etc ndo tunahamasika kuchungulia. Mambo ya medium and long term conceptualization si priority kuanzia raia mpaka viongozi. Ndiyo maana tume co-opt strategies za Management by crisis na siyo Scientific management inayoambatana na hypothesis and concept building.
 
very true.......................we are reactive specimen but not proactive homo sapiens.......................
 
Si mara moja kusikia wabunge wakisema sentensi hii: Mheshimiwa Spika naomba nilitaarifu bunge lako TUKUFU....

Nani amelipa utukufu Bunge? Bunge limepewa UTUKUFU lini? Utukufu ni nini? Kwa nini Bunge ni Tukufu?
 
Hilo nena huwa linanikera kweli. Utukufu wake uko wapi? Ni maneno ya kizamani mno wakati huo Rais akiitwa Mtukufu. Kwa Rais limeondoka ila Bunge lomeng'ang'ania! Ni kama neno Mheshimiwa nalo halina maana kwani kama kuna waheshimiwa na wadharauliwa. Hii direct translation inatuletea matatizo.
 
Utukufu wake ndio huu unaouona sasa kwani wachafu hawana nafasi! Naamini unajua fika ni wasafi tu ndio watakaouona ufalme, sasa ufalme huu wa hapa duniani zaidi unabeba wachafu kuliko wasafi na kwakua wanaupenda na kujitukuza kwa Hilo basi ndio haya unayoyaona sasa ya kujitengenezea utukufu wao.
mkono wa mungu ni mrefu na kila lake lililosafi basi ataliwekea MKONO wake lisichafuliwe.
 
Si mara moja kusikia wabunge wakisema sentensi hii: Mheshimiwa Spika naomba nilitaarifu bunge lako TUKUFU....

Nani amelipa utukufu Bunge? Bunge limepewa UTUKUFU lini? Utukufu ni nini? Kwa nini Bunge ni Tukufu?

nyumba ya ibada zenyewe zimepoteza utukufu bumge litatoa wapi huo utukufu,siungi mkono hoja hata kidogo
 
Si mara moja kusikia wabunge wakisema sentensi hii: Mheshimiwa Spika naomba nilitaarifu bunge lako TUKUFU....

Nani amelipa utukufu Bunge? Bunge limepewa UTUKUFU lini? Utukufu ni nini? Kwa nini Bunge ni Tukufu?

bora mleta mada umeliona hili, kwani hizi terms nyingine kama bunge tukufu zimepitwa na wakti kabisa bkoz huo utukufu wake haupo kabisa zaidi ya kushusha hadhi neno tukufu kwani toka lini chenge na lowasa wakishi sehemu tukufu?
Mungu haepushie mbali.
 
Hasa spika ni mnafiki kabisaaaaa yaani hata ile sala wananapo anza bunge asubuhi haina maana kama kweli wana dini dhambi kubwa anayo maanake yeye ndio anaeliongoza kwa uwongo wa wazi kabisaaa yani report za mapendekezo ya kamati anazo halafu anaomba zingine wakati mambo lukuki ya wizi yapo wazi nini maana ya bunge si bora walivunje kuliko kula kodi zetu...
Yaani mbunge kila mwaka anarudia kuomba kitu kilekile wala hakina majibu zaidi ya ahadi hewa ...halafu wabunge wengine sijui wamevuta bangi chooni .mmeshaambiwa tanesko hawana mita wala waya lakini mtu anasimama kwangu wanakijiji hawana umeme
Yaani mtu anaona kabisa bajeti ya mwaka jana haijafikiwa mfano wizara ya ujenzi walipangiwa trillion 1.3 lakini walipewa billion 3.4 wakati wanadaiwa billion 4 sasa hapo kuna haja gani ya kupanga bajet nyingine wakati ni wazi hakuna pesa ila ya shererehe na kurepea nyumba zao zipo
 
Si sahih hata kidogo,unakuta wabunge na wengine wanaliita Bunge tukufu wakat ndan wamo WALA RUSHWA,WATOA RUSHWA,MAFISAD,MAFUSKA,WASHIRIKINA n.k...
 
Back
Top Bottom