Hakuna mtukufu chini ya jua ila ni MUNGU peke yake!
Sijui lakin kwakuwa naamini kila mmoja ni muumini wa dini fulani,niombe tu kuhoji,hasa kwa kuzingatia maandko ya dini yako na unavyojua unadhani kwanini bunge linaitwa "tukufu"?,vigezo gani vilitumika kulitunuku sifa hio?,kwanini?
Nadiriki kuuliza kwani mim pengne naww myakubaliana namim kuwa kuna sifa yamkini zinamfaa Mungu pekee,na hasa hii ya utukufu,hata pale alipotuambia yaliyokubliwa duniani basi na mbinguni yamekubalika me sidhani kama alitupa tiketi kujipa majina yanayo mfaa yeye tu au mimi sielewi vema?
Hata hivi ni kweli kuwa bunge letu linafaa kuitwa bunge tukufu au kuna haja ya kuangalia jina jingine zaidi,na zaidi wanaoingia huko wanaitwa waheshimiwa...
you are wrong!
unaamini kwa dhati kabisa kuwa KILA MMOJA ni muumini wa dini?!!!To what extent am I? Be frank,and correct me if am! As am not an angle.a normal human being iam.but you will look more wrong if and if you wont say how did you think am wrong!...na yamkini unaamini kuna dini moja duniani!?.ulipoishia kujua kuna watu wameanzia hapo hapo wakaenda mbele zaidi mkuu...nachelea kusema mengi kwani hujaspecify wapi exactly umeona weaknesses na ukatoa mtazamo wako kuwa kipi ni sahhi zaidi
unaamini kwa dhati kabisa kuwa KILA MMOJA ni muumini wa dini?!!!
Oohh shaka yako ipo hapo?,sina shaka juu ya hilo,sjui kama kuna mtanzania asie kuwa na dini,ukiacha mzee wetu ambae nae mim sjawah kumskia akitamka kwa kinywa chake kuwa hana dini(mr Ngombalemwiru).lakin kwa tuliobaki tuna dini zetu..na hata kama hauamin kama kuna dini basi unaamini uwepo wa Mungu!,hata Paganism ni miongoni mwa believes so toa shaka