PSALM_1
JF-Expert Member
- Jan 1, 2013
- 289
- 100
CCM wana uzoefu wa ku-run nchi chini ya mfumo wa chama kimoja. CCM bado hawajajua jinsi ya kuendesha nchi sambamba na chama cha upinzani chenye nguvu.
Na mpaka wakija kujua itakuwa too late. Na viongozi wake wamekosa mbinu kabisa, wanashindwa hata kuchunguza, kujifunza kwa vyama tawala vya nchi zilizoendelea. Ni kitu rahisi mno kuwafanya watanzania kuwa upande wako, lakini CCM hawajui nini cha kufanya.
Kama CCM wangekuwa na akili kidogo tu kama punje ya mhindi, wapinzani wangekuwa na hali ngumu sana.
Yaani hata hawapeani ushauri, mwenzao akiharibu wanamtetea mbele ya macho ya watanzania, sasa sijui wanadhani watanzania ni vipofu au ni mapunguani hata sielewi.