Bunge laahirishwa, Kamati ya Maliasili yawaka moto!

Kangi Lugola, Moses Machali, Zitto Kabwe, Tundu Lissu wamechachamaa. Naibu spika amelazimika kusitisha shughuli za bunge hadi hapo jioni ambapo kamati italazimika kuleta taarifa yake upya

Nicas acha ushamba hadi jioni ipi? baada ya nusu saa ni jioni? zitto ndio katoa hoja yenye mashiko wengine wanaropoka tu bila hoja, yaani unaona shida gani kusema zitto kichwaaaa?
 
MBUNGE wa kigoma kaskazini zitto kabwe ameomba mwongozo kuwa taarifa iliyosomwa na kamati ya bunge ya mazingira na maliasili kuwa kumekuwa na ukikwaji wa hali ya juu ya haki za binadamu, serikali nzima iwajibike kwa uhalifu huo.

Mmeshachangajikiwa mara hii? Nabadoooooo!
 
Hizi thread zingine zimejaa unafiki kulikuwa na haja gani ya kuandika kuwa Zitto aliunga mkono hapa unamaanisha nini kama sio unafiki.

Sasa wewe ulikua na sababu ipi ya msingi kumpinga mleta hoja kama sio unafiki?
 
lissu ni mweupe, ametoa hoja nyepesi iliyokosa mashiko

Zito oyeeeeeeee!

nilishasema zitto ndiyo kiongonzi pekee chadema aliye na uwezo mkubwa ni zitto peke yake.

zitto hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee3ee

Hakika nilikuwa nasisimuka sana kwa jinsi Zitto alivyokuwa anatoa hoja. Ni hoja ile ile ambayo Lissu ameshindwa kulishawishi bunge ndiyo hiyo hiyo imempandisha chati Mheshimiwa Zitto. Hongera sana Zitto hakika wewe ni jembe lililokosa mlimaji

muongo mkubwa siyo jioni ni baada ya nusu saa.

Hoyeeeeeeeee!

Zitto zitto zitto zitto zitto

unadhani mbowe angeweza kutoa hoja kama aliyotoa zitto?

Mkuu, wengi wameomba ila ni Zitto ndiye aliyefanikisha kushawishi kiti cha Spika

Duu!! maCCM kweli vichaa ukisoma yanavyoandika unaweza kucheka hadi ufe.
 
Kangi Lugola, Moses Machali, Zitto Kabwe, Tundu Lissu wamechachamaa. Naibu spika amelazimika kusitisha shughuli za bunge hadi hapo jioni ambapo kamati italazimika kuleta taarifa yake upya
Mkuu, nikusahihishe. Miongozo ya hao uliowataja akina Lugola, Machali, Lisu ilitolewa muongozo. Ila wa Zitto ndio umeshawishi kiti cha spika kuahirisha bunge kwa nusu saa na si mpaka jioni kama ulivyoandika
 
Zitto ameliteka vipi bunge? Mbona wabunge wote wameongelea suala hilo kwa uzito wa hali ya juu ili bunge liahirishwe kujadili suala hili? Baadhi yao Kangi Lugola, Laizer...

Zitto ndio amejenga hoja yenye mashiko wewe. amekuja na mifano. ametoa pendekezo n kuilaumu kamati kw nini iseme waziri wa mifugo ndie ajipime tu wakati hata maliasili wameshindwa kuwajiibika?
 
ni kihoja ambapo uzi huu karibia wote ni wanaccm tupu wakiwashindanisha wanachadema (zitto v lissu). Hakika ccm mnaugua chademaism.
 
lissu ni mweupe, ametoa hoja nyepesi iliyokosa mashiko
Siyo kweli, yeye ametaka wabunge wapewe nakala ya ripoti aliyokuwa anaisoma James Lembeli maana watajadili vipi, wakati hawana hiyo hard copy mikononi mwao! Na wengine Lekule Laizer, Mkosamali sijui Machali, Zitto Kabwe, Kangi Lugola na Mpina wametaka muda uongezwe wa kuijadili ripoti hiyo, na kwa sasa Kamati ya Uongozi ya Bunge ndio inakutana kuona way forward....!!!
 
wewe ni mpotoshaji LISSU alianza kuuliza kwa ujumla kuwa taarifa inayosomwa ni tofauti na ile ambayo wabunge wamepatiwa ndipo kiongozi wa bunge akajikanyaga kwa kutoa majibu mepesi kuwa aina shida na mtaletewa copy baadaye na ndipo lembeli aliendelea kusoma na baada ya kumaliza ndipo hoja ni miongozo ikaibuka wacha upotoshaji tangu mwanzo hii ilikuwa ni batili
 
Zitto ni mzito!!! pamoja na mapungufu yake ya kibinadamu ila Zitto ni mbunge wa kitaifa hongera pia mliosimama kidete kuhakikisha zoezi hili linafanikiwa
Tundu Lissu lugola .....
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom