Bunge la Uingereza lajadili kuhusu Zanzibar

Bunge la Uingereza lajadili kuhusu Zanzibar

Watanzania sijui wanapumbazwa na uchawi au sijui serikali ya ccm inatumia uchawi gani! Hili nalo litapotezwa na ccm
 
Hakuna demokrasia Africa. Tatizo viongozi wanafanya makosa wanaogopa Sana kuachia madaraka
 
Waingereza Wabaguzi sana Mbona hawaongelei pia Kuibiwa kura kwa Lowassa wao wanaongelea ya Seif tu?
mkuu maalim Seif alipigia siasa mataifa ya magharibi tokea 1992 au kabla ya hapo hivyo siasa za zanzibar Ulaya zinatambulika na kueleweka sana kwa mataifa ya nchi kama Uengereza, maalim Seif aliwekeza hilo mapema hivyo usishangae sana.

Chadema na Lowassa walikuja baadae bado ni wachanga sana kwenye siasa wao wamewekeza zaidi ndani nje hawana mvuto kiivyo, mwache Maalim apambane kuwatafutia wazanzibari haki yao ya oct 25.
 
This stems from the fact that without Government of National Unity there would not be tangible roll out of development plans in Zanzibar. Even Tanzania can be affected by the problem," he said.

He noted that between 2010 and 2015, when Zanzibar was run by GNU, there was real change, but what happened after that had undermined all the achievements gained.

Sawa yaweza kuwa ni kwa nia njema ila je seif atakubali tena serikali ya umoja?
 
Umoja wa mataifa, jumuiya za ulaya zote ni hovyo maana Hazina uwezo wa kutatua migogoro ambazo Hazina maslahi kwao.

Bashar Al-Asaad amewaua raia wengi dunia imeshindwa kumwadhibu. Wapeleke nyokonyoko xao huko
Unashiba ndio maana unaongea upuuzi subiri tuwekewe vikwazo halafu utajua madhara yake
 
By Hassan Ali

Zanzibar — Two British lawmakers have expressed their concerns over the way the October 2015 General Election results were handed in Zanzibar.

Presenting a private members motion on Thursday, Stafford Conservative legislator Jeremy Lefroy told the United Kingdom Parliament that overturning of presidential election results in Zanzibar was undemocratic.

The motion by Mr Lefroy, the chairman of the Africa All Parties Parliamentary Groups (AAPPG), who also doubles as the chairman of Tanzania All Parties Parliamentary Groups (TAPPG) in Parliament, was seconded by Labour lawmaker from Bassetlaw John Mann.

Presenting his motion, Mr Lefroy, who once lived in Tanzania, said what happened in Zanzibar was a shame as the election fell short of being described as free and fair.

"What happened in Zanzibar is a shame, depressing and intolerable," he stressed.

In his suggestions, Mr Lefroy, who said he still had Tanzania in his heart, said there was a need to bring together the Union Government and all parties to the Zanzibar political stalemate to discuss the solution.

According to him, a viable solution at the moment was the formation of a Government of National Unity, which would involve all major political players in the Isles.

"This stems from the fact that without Government of National Unity there would not be tangible roll out of development plans in Zanzibar. Even Tanzania can be affected by the problem," he said.

He noted that between 2010 and 2015, when Zanzibar was run by GNU, there was real change, but what happened after that had undermined all the achievements gained.

Commenting on the development, Civic United Front Foreign Affairs director Ismail Jussa Ladhu said was a clear indication that the international community had started understanding what the opposition party had been telling the world since the cancellation of the election.

"In todays world it is impossible to lie or hide the truth. The world needs inclusive, democratic and unity policies if you want to bring development to your people as opposed to views held by some rulers that think that they can stay in power forever," he said.

Wazungu bwana...watu wa ajabu sana...wanazungumzia uchaguzi wa Zanzibar na nchi nyingine za Afrika au za third world...lakini vituko vya uchaguzi huko Marekani wako kimya...hata vituko vya kura yao ya maoni ya Brexit wako kimya...ni wanafiki sana...Wakati Bush anaingia madarakani miongoni mwa waliopiga kura ni wafu...dah...
 
Waingereza Wabaguzi sana Mbona hawaongelei pia Kuibiwa kura kwa Lowassa wao wanaongelea ya Seif tu?
Mkuu Pohamba, Seif akiingia sehemu halafu akiondoka tu watu wa kazi wanakwenda mahali hapo kusawazisha mambo.

Kuna issue ambayo wazungu wakiambiwa na watu wa kazi basi yote aliyoyasema mzee mzima Seif yanaonekana kama hayana maana.
 
Hawa wamekosa kazi!!
Upepo utapita na watafanya yanayo wahusu
 
Wachangiaji lazima wawe wachache sababu ya lugha. Hebu translate to swahili uone. Ndani ya saa 1 kutakuwa na 1k reply
 
Dah.. Lini Bunge la Tanzania litajadili uchaguzi wa Marekani ?.. [emoji12] [emoji12]
 
Wachangiaji lazima wawe wachache sababu ya lugha. Hebu translate to swahili uone. Ndani ya saa 1 kutakuwa na 1k reply
Dah.... Kuna Mzambia nilikutana naye.... anatiririka kiinglish balaa... Lakini hajui kusoma wala kuandika[emoji13] [emoji13]
 
Kwanini wasihoji kuhusu marekani wakwende huko ma m..bwa hayo.....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom