Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,670
- 218,173
Gogo lishakatwa , kinachosubiriwa ni upepo tu lijiangukie zake .
Vikwazo viwekwe ndiyo watashika adabu
Mtukufu ni kusini mwa jangwa la sahara tu....tena kwa muda mfupi sio UK au EU baba.Wana mbeep mtukufu au watampigia!!
Ni mjinga tu asiyetambua kwamba Dr Shein ni Rais wa Zanzibar mpaka 2020. Watu wajiandae kwa Uchaguzi wa 2020 huyo Maalim asiwahadae watu hakuna kitakachobadilika!safi sana wanatikiswa huku na huku
Maalim seif ameitambulisha dunia kuhus yaliyojiri Zanzibar oct 25.
Tusiandikie mate tusubirie tuone
Mkuu Pohamba, Seif akiingia sehemu halafu akiondoka tu watu wa kazi wanakwenda mahali hapo kusawazisha mambo.
Kuna issue ambayo wazungu wakiambiwa na watu wa kazi basi yote aliyoyasema mzee mzima Seif yanaonekana kama hayana maana.
inaelekea hata mtoa mada huijui historia ya Zanzibar, hao unaowashabikia ndio chanzo cha matatizo yanayotokea Zanzibar leo halafu wanataka watushauri kutatua tatizo walilolitengeneza mawazo yao yamekaa kikoloni wakifikiri wanaweza kurudi tena kututawala
Suala sio kutawala milele. Hao wazungu wameshazoeleka kusikika wakiongelea masuala ya chaguzi za nchi masikini kama zetu hizi.wewe ndio wale munaomanishwa na kukaririshwa kwamba Tanzania njaa hamna., sasa kama Wazee wa kazi wanaingia kusawazisha mambo kwanini hili bunge lilijadili? kwanini Liberal waliichukua ile ajenda kama ajenda muhimu katika ule mkutano wa kimataifa na wao waliiona kwamba ni muhimu? watu wa kazi walikuwa wapi mpaka ajenda inafika kwenye meza ya UN?
Vipi kuhusu posho la Milleniun wazee wa kazi walikuwa wapi kupata zile hela?. Mwafaaa
Endeleeni kujipa moyo mtatawala milele.
Hiyo ndio theory ya akili yako ilipofikia., endelea kuamini hivyo.Suala sio kutawala milele. Hao wazungu wameshazoeleka kusikika wakiongelea masuala ya chaguzi za nchi masikini kama zetu hizi.
Unawakumbuka MCC na mbwembwe zao, mbona ni serikali ya Marekani iliyokuja na ahadi nyingine ya fedha, tena nyingi tu?.
Watu wa kazi wapo kazini, kuna issue ambazo wanakuwa wanamhusisha nazo mzee Seif, wazungu ukiwaambia masuala ya hizo issue tena wakisikia kutoka kwa watu wa kazi, huwa wanaamini.
Halafu kumbuka kwamba miaka ya nyuma Seif alikuwa analalamika kuibiwa lakini mwaka jana akafanya mchezo ambao alizoea kufanyiwa. Kwa hiyo wala msitafute sababu za kumpa umalaika na serikali ya mapinduzi ikapewa ushetani. Ni mwanasiasa tu, mwenye hulka zote za kisiasa.
Theory tena!!, huo ndio ukweli wa mambo.Hiyo ndio theory ya akili yako ilipofikia., endelea kuamini hivyo.
jipe moyo ili uishi kawaida.,
Vipi? Au ndio ndoto za alinacha?acha papara Zanzibar iko mikononi mwa wazanzibari very soon
Amini hivyo mdomo, moyoni unatwetaHabari ndio hiyo Mr
Wewe na bwana zako huko hamna kitu mtafanya, mark me words
Wakimpigia mtukufu ataongea kwa lugha IPI???Wana mbeep mtukufu au watampigia!!
Utamkalimania.Wakimpigia mtukufu ataongea kwa lugha IPI???