Bunge la Uingereza lajadili kuhusu Zanzibar

This stems from the fact that without Government of National Unity there would not be tangible roll out of development plans in Zanzibar. Even Tanzania can be affected by the problem," he said.

He noted that between 2010 and 2015, when Zanzibar was run by GNU, there was real change, but what happened after that had undermined all the achievements gained.

Sawa yaweza kuwa ni kwa nia njema ila je seif atakubali tena serikali ya umoja?
Who is Maalim Seif? . He is nobody!.

Hawa Waingereza bado wanadhani Tanzania ni koloni lao! .

Zanzibar sio nchi, ni sehemu ya JMT, nchi ni Tanzania pekee. Uchaguzi wa Zanzibar ni mambo ya ndani ya JMT, according to Vienna Convention, hakuna nchi yoyote duniani yenye mamlaka ya kuingilia mambo ya ndani ya nchi nyingine! .

Hata wewe na mkeo, mnavyoamua muishije ni mambo yenu ya ndani, vivyo hivyo Zanzibar ni mwandani wa ndoa ya muungano, Waingereza wasituingilie kabisa mambo yetu ya ndani.
Uchaguzi wa Marejeo Zanzibar ni Huru na Haki! Tuyasubiri Matokeo, Tuyakubali!

Ukweli Mchungu Zanzibar: Hakuna Mgogoro Wowote wa Kisiasa, Shein ni Rais Halali, Uchaguzi ni 2020!

Uhalali wa Rais Dr. Shein Wa Zanzibar ni Kutokana na Uchaguzi Halali, Huru na Wa Haki! .

Pascal
 
Wazungu bwana...watu wa ajabu sana...wanazungumzia uchaguzi wa Zanzibar na nchi nyingine za Afrika au za third world...lakini vituko vya uchaguzi huko Marekani wako kimya...hata vituko vya kura yao ya maoni ya Brexit wako kimya...ni wanafiki sana...Wakati Bush anaingia madarakani miongoni mwa waliopiga kura ni wafu...dah...
Hivi mnatumia nini kufikiri ? Kwani wakati wakupiga kura Brexit kulikuwa na Jecha aliyebatilisha matokeo ? Scenario iliyotokea Marekani ni sawa na upuuzi wa kufuta matokeo Zanzibar ?

Na wewe ni mama wa familia kabisa kuna watu wanakutegemea ,safari bado ndefu sana
 
inaelekea hata mtoa mada huijui historia ya Zanzibar, hao unaowashabikia ndio chanzo cha matatizo yanayotokea Zanzibar leo halafu wanataka watushauri kutatua tatizo walilolitengeneza mawazo yao yamekaa kikoloni wakifikiri wanaweza kurudi tena kututawala

Wewe una uwezo wa kumzuia Mzungu kukutawala?.
Acha kudanganya wenzako.
 
Hivi mnatumia nini kufikiri ? Kwani wakati wakupiga kura Brexit kulikuwa na Jecha aliyebatilisha matokeo ? Scenario iliyotokea Marekani ni sawa na upuuzi wa kufuta matokeo Zanzibar ?

Na wewe ni mama wa familia kabisa kuna watu wanakutegemea ,safari bado ndefu sana
Tofauti ipi hapo? Kinachozungumzwa ni demokrasia, sauti ya wengi ni sauti ya Mungu, na kanuni ni wengi wape. Wao wanazifuata? Hivi kwani raisi (mkuu wa nchi) wa Uingereza huchaguliwa/hupatikana kidemokrasia au ni kheri ya hata alivyopatikana Shein?
 
By Hassan Ali

Zanzibar — Two British lawmakers have expressed their concerns over the way the October 2015 General Election results were handed in Zanzibar.

Presenting a private members motion on Thursday, Stafford Conservative legislator Jeremy Lefroy told the United Kingdom Parliament that overturning of presidential election results in Zanzibar was undemocratic.

The motion by Mr Lefroy, the chairman of the Africa All Parties Parliamentary Groups (AAPPG), who also doubles as the chairman of Tanzania All Parties Parliamentary Groups (TAPPG) in Parliament, was seconded by Labour lawmaker from Bassetlaw John Mann.

Presenting his motion, Mr Lefroy, who once lived in Tanzania, said what happened in Zanzibar was a shame as the election fell short of being described as free and fair.

"What happened in Zanzibar is a shame, depressing and intolerable," he stressed.

In his suggestions, Mr Lefroy, who said he still had Tanzania in his heart, said there was a need to bring together the Union Government and all parties to the Zanzibar political stalemate to discuss the solution.

According to him, a viable solution at the moment was the formation of a Government of National Unity, which would involve all major political players in the Isles.

"This stems from the fact that without Government of National Unity there would not be tangible roll out of development plans in Zanzibar. Even Tanzania can be affected by the problem," he said.

He noted that between 2010 and 2015, when Zanzibar was run by GNU, there was real change, but what happened after that had undermined all the achievements gained.

Commenting on the development, Civic United Front Foreign Affairs director Ismail Jussa Ladhu said was a clear indication that the international community had started understanding what the opposition party had been telling the world since the cancellation of the election.

"In todays world it is impossible to lie or hide the truth. The world needs inclusive, democratic and unity policies if you want to bring development to your people as opposed to views held by some rulers that think that they can stay in power forever," he said.
Some slow thinker is very happy to bring this up and just feel proud about it. We as a nation, will we at one time discuss and make a statement about British internal matters? Talk of being brain washed to the core. Wake up gentle man.
 
Tofauti ipi hapo? Kinachozungumzwa ni demokrasia, sauti ya wengi ni sauti ya Mungu, na kanuni ni wengi wape. Wao wanazifuata? Hivi kwani raisi (mkuu wa nchi) wa Uingereza huchaguliwa/hupatikana kidemokrasia au ni kheri ya hata alivyopatikana Shein?
Wewe umegeuka 90 degees sijui hata kama umeelewa hiyo relations ya Brexit na swala la Zanzibar
 
Labda sijaelewa au sijui kabisa, mi nilidhani ni kanuni ya kidemokrasia kuwapata viongozi ktk ngazi zote, hata viranja wa shule kwa kupigiwa kura, pia wakae kwa awamu tu, na mwisho kura ya wengi ndo iamue. Tumeongelea demokrasia tu hapo. Nimekuliza unamjua raisi (mkuu wa nchi wa Uingereza)

Sasa kama hata kwa mkuu wao wa nchi hapatikani kidemokrasia, ndo maamuzi yao, wanapataje haki ya kuzungumzia demokrasia ktk nchi nyingine? Hapo tu.
 
Aiseee mkuu mbona jambo lipo wazi ? Nini maana ya Brexit ? Uingereza mfumo wao ni wa kifalme ,waziri mkuu ndie mtendaji mkuu

Demokrasia nayo ongelea ni ile ya wengi wape ,kura walizopiga Waingereza kujitoa EU na maamuzi yao yakaheshimiwa Cameron akaachia ngazi

Sasa sijui hili lina uhusiano gani na upuuzi wa Zanzibar kufutwa uchaguzi
 
Looks rubbish !

By Hassan Ali

Zanzibar — Two British lawmakers have expressed their concerns over the way the October 2015 General Election results were handed in Zanzibar.

Presenting a private members motion on Thursday, Stafford Conservative legislator Jeremy Lefroy told the United Kingdom Parliament that overturning of presidential election results in Zanzibar was undemocratic.

The motion by Mr Lefroy, the chairman of the Africa All Parties Parliamentary Groups (AAPPG), who also doubles as the chairman of Tanzania All Parties Parliamentary Groups (TAPPG) in Parliament, was seconded by Labour lawmaker from Bassetlaw John Mann.

Presenting his motion, Mr Lefroy, who once lived in Tanzania, said what happened in Zanzibar was a shame as the election fell short of being described as free and fair.

"What happened in Zanzibar is a shame, depressing and intolerable," he stressed.

In his suggestions, Mr Lefroy, who said he still had Tanzania in his heart, said there was a need to bring together the Union Government and all parties to the Zanzibar political stalemate to discuss the solution.

According to him, a viable solution at the moment was the formation of a Government of National Unity, which would involve all major political players in the Isles.

"This stems from the fact that without Government of National Unity there would not be tangible roll out of development plans in Zanzibar. Even Tanzania can be affected by the problem," he said.

He noted that between 2010 and 2015, when Zanzibar was run by GNU, there was real change, but what happened after that had undermined all the achievements gained.

Commenting on the development, Civic United Front Foreign Affairs director Ismail Jussa Ladhu said was a clear indication that the international community had started understanding what the opposition party had been telling the world since the cancellation of the election.

"In todays world it is impossible to lie or hide the truth. The world needs inclusive, democratic and unity policies if you want to bring development to your people as opposed to views held by some rulers that think that they can stay in power forever," he said.
 
Aiseee mkuu mbona jambo lipo wazi ? Nini maana ya Brexit ? Uingereza mfumo wao ni wa kifalme ,waziri mkuu ndie mtendaji mkuu

Demokrasia nayo ongelea ni ile ya wengi wape ,kura walizopiga Waingereza kujitoa EU na maamuzi yao yakaheshimiwa Cameron akaachia ngazi

Sasa sijui hili lina uhusiano gani na upuuzi wa Zanzibar kufutwa uchaguzi
Ninachoongelea ni uhalali wa wao kulizungumzia la wazanzibari au wayanzania ktk mifumo yao ya kuwapata viongozi wao, hilo tu mkuu.

Ni sawa na watz waone mfumo wa kifalme kuwa mbaya, na ambacho ni kweli si mzuri. Kwahiyo watu tuangalie tu title, raisi achaguliwe, akae miaka kadhaa tu. Nadhani sio fair, wote ni wakuu wa nchi na kanuni zisiwatenganishe. Unadhani Mugabe akibadili title lake awe mfalme watamuachia.
 
Wajinga yakwao yaliwashinda mpaka waziri wao mkuu akaachia ngazi kwani ya zanzibar yanawahusu wehu kweli.
 
Back
Top Bottom