Miss Zomboko
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 4,501
- 9,280
Bunge la Tanzania leo limeidhinisha bajeti kuu ya Serikali kwa mwaka 2020/21 ambayo utekelezaji wake utaanza Julai 1, 2020. Katika kipindi hicho Serikali imepanga kutumia Sh34.88 trilioni kutekeleza shughuli zake zikiwemo za maendeleo.
Kura 304 kati ya 371 zilizopigwa. Kura 63 zimepigwa ‘hapana’ na wabunge 13 hawakuwepo bungeni.
Kura 304 kati ya 371 zilizopigwa. Kura 63 zimepigwa ‘hapana’ na wabunge 13 hawakuwepo bungeni.