Pancras Suday
JF-Expert Member
- Jun 24, 2011
- 8,143
- 3,830
Shekhe ameonyesha the best approach ever ndani ya bunge. Very brief na ana hoja nzuri.
CCM ni wachawi.
Hii kura ya wazi itatumika kuwadhibiti watu au makundi fulani yenye maelekezo kutoka kwa watu fulani na hii itaharibu dhana nzima ya democrasia ndani ya wajumbe hasa walioteuliwa kwenda kulipa fadhira
kwaiyo?
nasikia zomeazomea kama kawaida !
Esta bulaya ni jembe aisee,anasema chama chake cha ccm kisilete mchezo mchafu wa kura ya wazi.ameenda mbali kwa kusema kama ni hivyo basi na kwa wananchi tubadilishe wapige kura ya wazi.
Mtikila nimchungaji aliyechanganyikiwa yeyote anayemsikiliza inawezekana naye amechanganyikiwa kama yeye
Esta bulaya ni jembe aisee,anasema chama chake cha ccm kisilete mchezo mchafu wa kura ya wazi.ameenda mbali kwa kusema kama ni hivyo basi na kwa wananchi tubadilishe wapige kura ya wazi.