Isike Moses
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 2,789
- 4,243
hizo dakika tano bafo tuuuu!!!!!
Ulitaka kuandika nini Mkuu?
hizo dakika tano bafo tuuuu!!!!!
Mtikila nimchungaji aliyechanganyikiwa yeyote anayemsikiliza inawezekana naye amechanganyikiwa kama yeye
Hahaaaa. .....sidhani km ntakuja kumuelewa mtikila
Kwa nini uchaguzi mkuu tunapiga kura za siri... WHY..??? Kwa unadhani kura ya mtu ijulikane na mtu mwingine..??? What value does it add..??kwa kuwa watanzania tumekuwa tukiishi kwa amani na upendo, jambo ambalo limekoleza thamani ya udugu wetu, umefika wakati tuionyeshe dunia kuwa hatuogopani wala kutishana tunapotakiwa kupiga kura kuamua mustakabali wa jambo letu kubwa na nyeti kabisa.
kama bunge la katiba linakusudia kutumia mfumo huu wa kupiga kura ya wazi, kwa nini wananchi nasi tusipewe fursa kama hii kwa jambo hilihili la katiba.
pinga kwa hoja, unga mkono kwa hoja pia.
Hivi hawa wabunge wa ccm wanaopiga vigelegele ndani ya bunge ni ushamba au ndo ushabiki wenyewe?shame on them!
Hivi hawa wabunge wa ccm wanaopiga vigelegele ndani ya bunge ni ushamba au ndo ushabiki wenyewe?shame on them!
Kwa nini uchaguzi mkuu tunapiga kura za siri... WHY..??? Kwa unadhani kura ya mtu ijulikane na mtu mwingine..??? What value does it add..??
Kura ya siri ni nzuri kwa sababu it ensures that all votes zinapigwa kwa siri, so that the voter is not influenced by any other individual, and at the time of voting no one else knows who the voter chose.
Kuna wengine wanapopiga kura, wanaogopa sana kwenda kinyume na matakwa ya kundi analotoka huku wengine wakimuona
Sheikh Kundecha anaunguruma kwa ustaarabu uleule wa Kasisi Mtikila....approach yake is the best ever ndani ya jengo hili, sijui huyu kijana mwenzangu Sixtus Mapunda aliyepayuka kama chizi anajisikiaje.....?
Vijana tunatumika vibaya sana na hizi political affiliations. ....
Tuna tatizo kubwa kuliko tunavyodhania