BUNGE LA KATIBA: Yanayojiri leo tarehe 27/02/2014

Hii kura ya wazi itatumika kuwadhibiti watu au makundi fulani yenye maelekezo kutoka kwa watu fulani na hii itaharibu dhana nzima ya democrasia ndani ya wajumbe hasa walioteuliwa kwenda kulipa fadhira
 
Excellent Esther Bulaya....free Lady within my Party. Stay blessed
 
Acha udini kwani niyeye peke yake aliyeongelea kura za siri! Mbona wacangiaji wengi tu ameliona hilo kuna haja gani kumpa misifa yote isiyo na maana.
Shekhe ameonyesha the best approach ever ndani ya bunge. Very brief na ana hoja nzuri.
 
nimependa namna alivyofafanua hii inaonesha kuna wajuzi wa mambo lakini hawajapta nafasi, ila suala la kuswali ijumaa kazungumza kwa namna ambayo najua wengi hawajamuelewa au hajaeleweka.
 
Mchungaji Mtikila ameongea kwa ustaarabu wa hali ya juu wala hamna zomea zomea zozote shughuli zinaendelea vizuri kabisa.
 
Hii kura ya wazi itatumika kuwadhibiti watu au makundi fulani yenye maelekezo kutoka kwa watu fulani na hii itaharibu dhana nzima ya democrasia ndani ya wajumbe hasa walioteuliwa kwenda kulipa fadhira

Tunaihitaji aina hii ya upigaji kura katika chaguzi za wabunge, madiwani, na Rais nadhani itatusaidia sana.
na hii itakuwa kipimo kizuri cha umoja wetu, utaifa wetu, upendo wetu na amani yetu.
 
Licha kupinga taarifa kinzani though anaikubali, lakini amenyoosha njia kwa vijana wenzangu ndani ya CCM ......huu ndio uwekezaji sahihi kwa viongozi wa kesho.....
 
Esta bulaya ni jembe aisee,anasema chama chake cha ccm kisilete mchezo mchafu wa kura ya wazi.ameenda mbali kwa kusema kama ni hivyo basi na kwa wananchi tubadilishe wapige kura ya wazi.
 
Mheshimiwa Duni Hajj anajenga hoja kwa vielelezo....Geikuru naye amejielekeza vyema kulinda haki ya kujieleza na kuendelea kuwa salama
 
Esta bulaya ni jembe aisee,anasema chama chake cha ccm kisilete mchezo mchafu wa kura ya wazi.ameenda mbali kwa kusema kama ni hivyo basi na kwa wananchi tubadilishe wapige kura ya wazi.

CCM bado wanashindwa kuutambua upepo huu wanadhani ni kipindi cha akina Msekwa waliotunga katiba ya 1977
 
Mtikila nimchungaji aliyechanganyikiwa yeyote anayemsikiliza inawezekana naye amechanganyikiwa kama yeye

Jinalo lingelikuwa tofauti na hili ulilolitumia katika ID hii kidogo ningeelewa ulichokiandika...
 
Esta bulaya ni jembe aisee,anasema chama chake cha ccm kisilete mchezo mchafu wa kura ya wazi.ameenda mbali kwa kusema kama ni hivyo basi na kwa wananchi tubadilishe wapige kura ya wazi.

Safi tunaka watu wanaojitambua kama hawa, ccm itakufa ila Tanzania itabaki milele.!
 
Tusije kusikia madai kuwa kura ziliibiwa, Kura za wazi zingeondoa hilo la madai ya wizi
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom