BUNGE LA KATIBA: Yanayojiri leo tarehe 27/02/2014 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

BUNGE LA KATIBA: Yanayojiri leo tarehe 27/02/2014

Discussion in 'KATIBA Mpya' started by jogi, Feb 27, 2014.

 1. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #1
  Feb 27, 2014
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 16,843
  Likes Received: 9,664
  Trophy Points: 280
  kwa kuwa watanzania tumekuwa tukiishi kwa amani na upendo, jambo ambalo limekoleza thamani ya udugu wetu, umefika wakati tuionyeshe dunia kuwa hatuogopani wala kutishana tunapotakiwa kupiga kura kuamua mustakabali wa jambo letu kubwa na nyeti kabisa.

  kama bunge la katiba linakusudia kutumia mfumo huu wa kupiga kura ya wazi, kwa nini wananchi nasi tusipewe fursa kama hii kwa jambo hilihili la katiba.

  pinga kwa hoja, unga mkono kwa hoja pia.
   
 2. FDR.Jr

  FDR.Jr JF-Expert Member

  #2
  Feb 27, 2014
  Joined: Jun 17, 2008
  Messages: 1,316
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Mh. Kificho amemwita Mchungaji Mtikila sasa hivi achangie.

   
 3. mwekundu

  mwekundu JF-Expert Member

  #3
  Feb 27, 2014
  Joined: Mar 4, 2013
  Messages: 18,827
  Likes Received: 5,403
  Trophy Points: 280
  kosa please............hebu report vizuri basi
   
 4. Makangarawe

  Makangarawe Senior Member

  #4
  Feb 27, 2014
  Joined: Nov 19, 2013
  Messages: 101
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mtikila sawa na goroli ya pedeli ya baiskeli.
   
 5. Erythrocyte

  Erythrocyte JF-Expert Member

  #5
  Feb 27, 2014
  Joined: Nov 6, 2012
  Messages: 41,294
  Likes Received: 19,402
  Trophy Points: 280
  uzuri wa mtikila hamung'unyi maneno hata kama ulimpa hela jana .
   
 6. H

  Haki sawa JF-Expert Member

  #6
  Feb 27, 2014
  Joined: Oct 3, 2007
  Messages: 4,698
  Likes Received: 558
  Trophy Points: 280
  Mtikila ,anayumbishwa ili apoteze muelekeo wake wa kuchangia kwani anakatizwa na kichwa cha siwa
   
 7. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #7
  Feb 27, 2014
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 16,843
  Likes Received: 9,664
  Trophy Points: 280
  hizo dakika tano bafo tuuuu!!!!!
   
 8. H

  Haki sawa JF-Expert Member

  #8
  Feb 27, 2014
  Joined: Oct 3, 2007
  Messages: 4,698
  Likes Received: 558
  Trophy Points: 280
  Ameanza kwa kupiga mkwara kuwa huenda Bunge likakosa uhalali siku za usoni , na ametoa chapisho lake ambalo atalisambaza leo
   
 9. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #9
  Feb 27, 2014
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 16,843
  Likes Received: 9,664
  Trophy Points: 280
  kasema nini, kayumbishwa wapi! fafanua watu wa matombo wakuelewe. mnafikiri wote tuna tiivii
   
 10. H

  Haki sawa JF-Expert Member

  #10
  Feb 27, 2014
  Joined: Oct 3, 2007
  Messages: 4,698
  Likes Received: 558
  Trophy Points: 280
  Anamwambia mwenyekiti wa kikao kuwa wamemchagua kwa kura ya siri na hiyo ndio democratic civility, na anasema kuwa kuhusu suala la ujasiri yeye hajaona mtu jasiri kwenye nchi hii kama yeye so anataka kura ya siri.
   
 11. H

  Haki sawa JF-Expert Member

  #11
  Feb 27, 2014
  Joined: Oct 3, 2007
  Messages: 4,698
  Likes Received: 558
  Trophy Points: 280
  Mtikila, Kura siku zote ni kwa secret ballot , na hiyo ni haki ya msingi ya binadamu na Bunge maalum la katiba litatia aibu kama litaenda kinyume na jambo la msingi kama haki ya uhuru na kutokuingiliwa .....
   
 12. H

  Haki sawa JF-Expert Member

  #12
  Feb 27, 2014
  Joined: Oct 3, 2007
  Messages: 4,698
  Likes Received: 558
  Trophy Points: 280
  Haki ya msingi ya faragha ni jambo la kikatiba , sasa hao wanaojadili kuwa kura iwe ya wazi ni wagonjwa
   
 13. kelao

  kelao JF-Expert Member

  #13
  Feb 27, 2014
  Joined: Sep 24, 2012
  Messages: 4,585
  Likes Received: 1,025
  Trophy Points: 280
  Mtikila anatiririka,anasema bunge la katiba limetekwa na chama kimoja,jambo ambalo ni hatari sana!anasema kura ya siri si suala la kujadili..lipo ndani ya katiba,kulinda uhuru wa mtu..
   
 14. kelao

  kelao JF-Expert Member

  #14
  Feb 27, 2014
  Joined: Sep 24, 2012
  Messages: 4,585
  Likes Received: 1,025
  Trophy Points: 280
  Mzee Ndesa Pesa anaunguruma sasa..
   
 15. H

  Haki sawa JF-Expert Member

  #15
  Feb 27, 2014
  Joined: Oct 3, 2007
  Messages: 4,698
  Likes Received: 558
  Trophy Points: 280
  Ndesamburo, kura iwe ya siri na ni haki ya kila mtu na ilindwe , sio jambo la kufanyiwa ushabiki wa vyama ....
   
 16. M

  Makupa JF-Expert Member

  #16
  Feb 27, 2014
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,741
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Mtikila anapenda kuropoka sana
   
 17. SaidSabke

  SaidSabke JF-Expert Member

  #17
  Feb 27, 2014
  Joined: Sep 28, 2006
  Messages: 1,893
  Likes Received: 197
  Trophy Points: 160
  Mtikila nimchungaji aliyechanganyikiwa yeyote anayemsikiliza inawezekana naye amechanganyikiwa kama yeye
   
 18. kelao

  kelao JF-Expert Member

  #18
  Feb 27, 2014
  Joined: Sep 24, 2012
  Messages: 4,585
  Likes Received: 1,025
  Trophy Points: 280
  Hivi hawa wabunge wa ccm wanaopiga vigelegele ndani ya bunge ni ushamba au ndo ushabiki wenyewe?shame on them!
   
 19. R

  Rorya one Member

  #19
  Feb 27, 2014
  Joined: Feb 13, 2014
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ..... katika kutetea misingi ya nchi tuwe tayari kufa au kumwondoa yeyote mwenye kutuyumbisha....tusikubali kuyumbishwa kamwe...WAZALENDO KAMA KUNA UCCM HAPO RUDINI ILI TUDA KATIBA NKW NJIA WATAKAO IELEWA.
   
 20. FORESEER

  FORESEER Senior Member

  #20
  Feb 27, 2014
  Joined: Aug 1, 2013
  Messages: 111
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Safi sana Mzee Mtikila,no longer at ease with one political party!
   
Loading...