karekwachuza
JF-Expert Member
- Dec 23, 2013
- 999
- 335
Habari zisizo rasmi kutoka Dodoma zinadai kuwa Bunge Maalum la Katiba limeahirishwa hadi hapo maridhiano kati ya makundi yanayokinzana yatakapopoatikana.
More details zinafuata
Ni kwamba ccm ni janga la kitaifa.kila jambo lina mwanzo na mwisho