change junior
Member
- Aug 11, 2014
- 42
- 7
Habari zisizo rasmi.........ishapoteza radha
CCM hawana akili hata kidogo, SITA naye ni mbumbumbu, kashalogwa na wenzake tayari.
Kama maneno yangu ndio yanakufanya uone ninatumia bangi, basi nitaendelea kuitumia daima dawamu, ila point iko hapa kuwa CCM si wasikivu, wamelewa sifa, hawaoni mbele..........Acha bangi mkuu kwanini unaongea bangibangi kwa namna hii.
achana na habari za kutunga waacheni wakae uko watuletee katiba ,kwani wakiondoka nyie mtapata niniHabari zisizo rasmi kutoka Dodoma zinadai kuwa Bunge Maalum la Katiba limeahirishwa hadi hapo maridhiano kati ya makundi yanayokinzana yatakapopoatikana.
More details zinafuata
Rais ni rizwan kikwete 2015
Katibu mwenezi singida mashariki adai bunge la katiba lisitishwe.Kwa mujibu wa H.Y.Mazonge katibu mwenezi jimbo la singida mashariki,uwezekano wa katiba kukamilika haupo,ivo anaomba mchakato usitishwe ili upate msimamo wa jamii nzima.Tujadili wadau..

Nafikiri watu huwa wanota kutokana their heart desires hivi unaposema BMK lina ahirishwa! liahirishwe kwa kwa sababu gani ya msingi binafsi ukawa naona sio hoja tena yakujadili.
Kwasababu me nakosa imani na watu kama hawa hasa kwa mambo wanayoendelea kuyafanya kwa kua nje ya bunge mpaka sasa bila ya sababu maalum nakuendelea kufanya mikutano mingi huku wakiwa wameacha kazi yao bungeni, bunge haliwez kuahirishwa kirahisi namna hiyo.