CHAI CHUNGU
JF-Expert Member
- Feb 20, 2012
- 7,113
- 950
muheshimiwa spika,kwa niaba ya waziri husika,napenda kujibu swali dogo la nyongeza la muheshimiwa dudu jeusi kama ifuatavyo.
Namuomba muheshimiwa dudu jeusi awe mvumilivu,maana bado tunatafuta muwekezaji na tayari tumepata na tunafanya mazungumzo na co 1 toka nchini uswis,ambayo iko tayari kuwekeza kwenye hilo,
bado tunajadiri mapendekezo na masharti yake ili tuweze kuliweka wazi suala hilo.
Muheshimiwa DUDU JEUSI swali la mwisho dogo la nyongeza.
swali la nyongeza Mh Spika,hivi mdau Kongosho ni He au She?
Samahan Mh.Gambachovu we usiende mbal dawa yako hata m naijua!
Labda nimwombe mh.spika akubadilishie hicho ki2 cha kuzunguka maana kinapindisha mgongo had kupelekea maumivu ya tumbo bac yeye atafanya utaratibu wa kuleta kit speacial from bar labda kile kitakusaidia kidogo,kwan bado tunahaja na majibu yako.
From unkown jimbo.
afu wewe, njoo tuzigonge chiaz tuone kitatokea nini basi.
Mh Gabmanu..
Hali yangu mbaya... Au kuna unga wamepulizia mic yangu.... Nahisi nazimia mh Gabmanu...
afu wewe, njoo tuzigonge chiaz tuone kitatokea nini basi.
Muheshimiwa pinokyo jujumani tunashukuru kwa wazo zuri,sasa namuita muheshimiwa mendieta kwa majibu zaidi,Mheshimiwa Spika nikiwa kama Waziri wa "Michango ya rambira na sherehe mbalimbali" nina swali moja la msingi; Kwakua JF ni jamii flani ya watu waloamua kujiunga kama jumuiya kwa sababu mbalimbali na kwakua nasi ni jamii kama zilivyo jamii zingine ulimwenguni kote swali langu ni kwamba; Je mheshimiwa Spika kupitia Bunge lako tukufu hamuoni kama kupitia Wizara yangu kuna umuhimu wa kuanzisha mfuko maalum utakao kuwa chini ya wizara yangu utakao husika na Rambirambi pamoja na michango mbalimbali?
Mi ntadhamini onesho hilo... Lol
Muheshimiwa waziri wa jinsia majibu!