Hii imetokeo leo katika kikao cha bunge la jumuiya ya Afrika mashariki kinachoendelea mjini Arusha...Wabunge wamegoma kupokea taarifa ya kamati ya fedha wakitaka waliohusika na ubadhirifu na matumizi mabaya ya fedha za uma kutoka serikali ya Tanzania wachukuliwe hatua...jambo la kusikitisha wachangiaji karibia woote na walioguswa na adha hii mpaka kutishia kujiudhuru sio wabunge kutoka Tanzania...arafu utasikia mtu anaropoka kuwa bunge letu sio dhaifu...duh