Bunge kutokuwa na Kambi rasmi ya Upinzani ni ishara kuwa Wapinzani wameishiwa pumzi

Wapinzani waliambiwa na Prof Mkumbo kwamba wasipobadilika miaka ile mitano ya Magu watapotezwa.

Ndicho kilichotokea na hizi kelele za kuonewa ni ziada tu.

Vinatakiwa vipatikane vichwa vipya kabisa vyenye fikra mpya zenye kuwapa changamoto CCM.
 
Moja ya kipimo cha kuimarika kwa upinzani ni uwepo wa Kambi rasmi ya upinzani na mabaraza ya madiwani yanayoongozwa na vyama vya upinzani.

Kwa sasa hapa Tanzania hivyo vyote havipo. Ni kama vile tumerudi mwaka 1992 wakati mfumo wa sasa wa vyama vingi unaasisiwa.

Ili upinzani urejeshe makali yake ni lazima wapatikane viongozi aina ya mchungaji Mtikila au Mabere Marando ambao pamoja na misukosuko mingi waliyopitia hawajawahi kukimbilia ubalozi wa Ulaya ama kuvuka mipaka kinyemela huko Namanga, walipambana ndani ya nchi yao na huo ndio uzalendo.

Maendeleo hayana vyama!
Hacha Mambo yako bwana,nenda zako bwana
 
Mleta mada wewe ni mgeni kwa yaliyotokea hapa nchini au unaongea kwa mapenzi ya CCM. Tanzania tuna safari ndefu sana. Mtu aliye na level ya PHD anasema uchaguzi ulikuwa huru na wa haki. Mtu unadanganya bila hata aibu. Mnakatisha tamaa ninyi wasomi.
 
Moja ya kipimo cha kuimarika kwa upinzani ni uwepo wa Kambi rasmi ya upinzani na mabaraza ya madiwani yanayoongozwa na vyama vya upinzani.

Kwa sasa hapa Tanzania hivyo vyote havipo. Ni kama vile tumerudi mwaka 1992 wakati mfumo wa sasa wa vyama vingi unaasisiwa.

Ili upinzani urejeshe makali yake ni lazima wapatikane viongozi aina ya mchungaji Mtikila au Mabere Marando ambao pamoja na misukosuko mingi waliyopitia hawajawahi kukimbilia ubalozi wa Ulaya ama kuvuka mipaka kinyemela huko Namanga, walipambana ndani ya nchi yao na huo ndio uzalendo.

Maendeleo hayana vyama!
Mchungaji Mtikila aliwahi kumiminiwa risasi hata mbili?
Kuhusu Mabere Marando na NCCR hili ni jambo ambalo linajulikana na kama palivyo na "straw company" za serikali si ajabu kuwa na vyama vya upinzani ambavyo ni pro governmemnt hata kama kwa nje havionekani hivyo.
Kwa wanaojifunza hasa ndani ya CCM naamini wamepata somo la kuwa upinzani si chama cha siasa bali itikadi iliyomo ndani ya mioyo ya watu.
Nani alijua kuwa CHADEMA wangepata wahudhuriaji wa mikutano yao kwa haya makubwa aliyofanya JPM?Wengi tuliamini huu ni mwaka ambao CCM wangehitaji nguvu ndogo sana katika Uchaguzi lakini umeona kilichotokea.
 
Wapinzani waliambiwa na Prof Mkumbo kwamba wasipobadilika miaka ile mitano ya Magu watapotezwa.

Ndicho kilichotokea na hizi kelele za kuonewa ni ziada tu.

Vinatakiwa vipatikane vichwa vipya kabisa vyenye fikra mpya zenye kuwapa changamoto CCM.
Ni kweli kabisa!
 
Moja ya kipimo cha kuimarika kwa upinzani ni uwepo wa Kambi rasmi ya upinzani na mabaraza ya madiwani yanayoongozwa na vyama vya upinzani.

Kwa sasa hapa Tanzania hivyo vyote havipo. Ni kama vile tumerudi mwaka 1992 wakati mfumo wa sasa wa vyama vingi unaasisiwa.

Ili upinzani urejeshe makali yake ni lazima wapatikane viongozi aina ya mchungaji Mtikila au Mabere Marando ambao pamoja na misukosuko mingi waliyopitia hawajawahi kukimbilia ubalozi wa Ulaya ama kuvuka mipaka kinyemela huko Namanga, walipambana ndani ya nchi yao na huo ndio uzalendo.

Maendeleo hayana vyama!
Muulize aliyepika matokeo ofisini..!!
 
Sema wamehujumiwa kimabavu.
 
Back
Top Bottom