Bunge kutokuwa na Kambi rasmi ya Upinzani ni ishara kuwa Wapinzani wameishiwa pumzi

Kipindi cha akina Mabere na Mtikila usikifananishe na hiki kipindi cha udikiteta, wangekwepo wangekimbia tu kwa huu utawala wa mkono wa chuma ambapo mfalame hataki kusikia mawazo mbadala atakayebishana naye anaonyeshwa cha mtema kuni, japo Mtikila alisha kuwa targeted
 
Safari Hii Ebu wakukumbuke Maana Umefanya kazi kubwa sana "University bus kwa waliojihita Wanafunzi wa Vyuo Vikuu". kwa nini Mlipoteza Muda na pesa Kufanya usanii ule wakati njia rahisi ya Ushindi wa Kishindo mlikuwa nayo Tayari. Wahenga Walipata Kusema “Hauwezi Kujisaidia Kariakoo Mchana kweupe Ukatoka Unapiga Miruzi Mikono Mfukoni Huku Ukijiaminisha Watu Hawajakuona”. Mlikunya Mchna K'Koo....
 
Kwanini mlishiriki?
Kushiriki ni kitu kingine na uchaguzi kuvurugwa ni kitu kingine........Uchaguzi ulitaka kuvurugwa kwenye hatua ya kuapishwa mawakala chadema wakapambana NEC wakashindwa ,ila ukaja kuharibiwa siku ya uchaguzi wenyewe ambapo NEC wakafanya yao.
 
Kungekuwa na free and fair election hata baba jesca asingerudi ikulu,upinzani was sasa umeimarika sana hilo hata ww mwenyew unajua ila ni kiburi 2 ,unajua bei ya cement kiasi gani?
 
Kushiriki ni kitu kingine na uchaguzi kuvurugwa ni kitu kingine........Uchaguzi ulitaka kuvurugwa kwenye hatua ya kuapishwa mawakala chadema wakapambana NEC wakashindwa ,ila ukaja kuharibiwa siku ya uchaguzi wenyewe ambapo NEC wakafanya yao.
Hata kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa mlisema hivi hivi!
 
Umeeleweka kiongozi tuliwaonya sana juu ya siasa za ovyo lakini hawakutusikia hayo ndiyo matokeo yake hakuna namna wajipange hadi mwaka 2025 waje na mbinu mpya.
 
Siasa ni sayansi,na Sayansi kama Sayansi Uendana na Majira na Nyakati. Kipindi huyo "Marando" na "Mtikila"Wanafanya Politics ni tofauti sana na sasa. kwenye Politics issues ni Hoja Kwa Hoja na ndicho wao walikuwa wanapambana kuzienforce. Kuna tofauti kubwa kati ya Hoja kwa Hoja na ile ya Hoja kwa Viloja.

Uwanja wa wakatile ule ulikuwa somehow Fair lakini wa sasa Hautabiriki ndio maana unaona Wenye hakiri Wanatafuta platform nyingine ya kuendeleza Mapambano. Uwanja wa mapambano unapokuwa sio tambalale askari mwerevu hawezi Kujipereka frontline Kizembe zembe....
 
Sio tumerudi, tumerudishwa Na wenye dola, hata hivyo sio mbaya sn wapinzani walikuwa wanachelewesha maendeleo mpo wenyewe tuleteeni maendeleooooo

" nileteni gwajimaaaaa" huyo kaja
"nileteeni silindeeee" huyo hapo
Mshindwe ninyi sasa
Wananchi ndiyo wameamua, kipindi cha kampeni mlikuwa mnasema hakuna dola inayoweza kuishinda nguvu ya umma vipi leo mbadilike.
 
Kungekuwa na free and fair election hata baba jesca asingerudi ikulu,upinzani was sasa umeimarika sana hilo hata ww mwenyew unajua ila ni kiburi 2 ,unajua bei ya cement kiasi gani au bado upo kwa shemeji?
Hata Trump wa Marekani anasema hivyo hivyo bwashee!
 
Awamu zilizopita kulikua Hakuna mambo ya kupigana risasi na kutishiana kuuwawa ,
 
Sio tumerudi, tumerudishwa Na wenye dola, hata hivyo sio mbaya sn wapinzani walikuwa wanachelewesha maendeleo mpo wenyewe tuleteeni maendeleooooo

" nileteni gwajimaaaaa" huyo kaja
"nileteeni silindeeee" huyo hapo
Mshindwe ninyi sasa
NI KWELI WAPINZANI WALIKUWA WANATUCHELEWESHA SANA WAJINGA WALE. SASA MAMBO NI FIRE. IMEISHA HIYOOOOOOOOOOOO
 
Back
Top Bottom