Bundle ya VODA Unlimited One Week Ikoje!?

Bundle ya VODA Unlimited One Week Ikoje!?

Mwana Ilala

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2013
Posts
1,286
Reaction score
488
Hii Bundle ya Voda One week Unlimited kwa 10,000/-

Naomba kujua inakuwa na Ujazo gani!?? Nauliza hivyo kwa sababu niliinunua juzi, siku za mwanzo ikawa inanipa maspeed ya Ajabu hadi 3.8Mbps.

Baada ya siku ya 3 nikiwa nakula na kupakua Mizigo angani, saivi naona inanipa Speed ya 0.32Mbps.

Je huweka kiwango fulani na baada ya hicho kiwango kuisha wanabana Bandwidth au inakuwajehadi watudanganye kuwa ni Unlimited na kumbe sivyo!???

Naomba kujua especially ujazo wake.

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Sidhani hata kama 2gb zinafika mkuu.
Lakini si huwa wanakutumia sms kuwa ile bundle ya speed kubwa imeisha sasa unaweza enjoy free download kwa 62kbps mkuu? Wao wanasema ni 750mb lakini ikikukuta upo kwenye active download inaweza kwenda had 1.2gb(kwa uzoefu wangu)
 
2Gb full speed kisha inakuwa rate limited at around 30Kbps
 
Kwa Mantiki hiyo ni afadhali mtu kununua Airtel Bundle ya Week 3GB kwa Tsh6,000/-.

Kama kuna Mtu ambaye Keshaijaribu Airtel na Bundle yake ya 3GB ya wiki toka Airtel atujuze kuhusiAna na speed yake kama inaridhisha kama ya Voda.

Ikiwa Airtel unaweza kupata 12GB kwa Mwezi kwa Kiasi cha Tsh24,000, Je! One month Unlimited Bundle ya voda ambayo inakosti 30,000 watakuwa wanatoa Bundle yenye Ujazo gani!?????

Inategemea na matumizi yako, tatizo la 3GB ya Airtel ni kwamba unaweza kuimaliza ndani ya siku moja, bundle ya Voda inadumu siku saba kivyovyote vile, hata ikiwa spidi ndogo inatosha kwa kusurf, fb, email etc so una uhakika wa kuwa na connectivity kwa kipindi chote, hata muvi unashusha ila ndo uiache night nzima.

Voda ya 30,000/= ni 3GB kisha spidi inashuka ila faida yake ndo hiyo hiyo inalast mwezi mzima, Airtel ni bora kama unataka kushusha 12GB haraka, Voda ni bora kama unataka kuwa connected kwa mwezi mzima, hasa ukiwa kwenye simu spidi ndogo inatosha kwa vitu vingi.
 
Back
Top Bottom