Elvis Legacy
JF-Expert Member
- Aug 10, 2017
- 4,627
- 7,152
Mbona unanitisha mkuu kwani Bundi ndio malaika mtoa roho?Daaaah anza kuandaa mazishi mkuu,anza kukopa fedha,anza kutengeneza mazingira vizuri ya home maana msiba unakuja.
Tatizo kaja usiku angekuja mchanaAhhaaha yani umesumbua watu wote hao na msaada hujapata.. toka mkuu ukapambane naye.. timua fasta
Kwanini umuogope[emoji6][emoji6][emoji6]
Hapana sikutishi,ngoja tusibiri wiki hii ipite utakuja kutupa mrejesho.Mbona unanitisha mkuu kwani Bundi ndio malaika mtoa roho?
Leo kwangu kesho kwako jamaaR.i.p
Harufu gani kasikia. Sijipulizii unyunyu usiku.Kisha sikia harufu...msiba huo
Msiba nao una harufu yakeHarufu gani kasikia. Sijipulizii unyunyu usiku.
Kwa hiyo una maana jirani yangu atakufa. Maana mpapai upo karibu zaidi na nyumba yake japo ni wa kwangu.Msiba nao una harufu yake
Na tangu lini Bundi akaonekana mchana??[emoji16][emoji16][emoji16]Tatizo kaja usiku angekuja mchana
Fafanua ZamaulidMtu huanza kufa kabla ya kufariki
Mwenye mpapai chaliiiKwa hiyo una maana jirani yangu atakufa. Maana mpapai upo karibu zaidi na nyumba yake japo ni wa kwangu.
Kwani Bundi analiwa ndugu?Umeletewa kitoweo home unaanza kulalamika.