Bundi ametua rasmi Mtaa wa Lumumba usiku huu

Bundi ametua rasmi Mtaa wa Lumumba usiku huu

karibu sana makamanda mtuongezee mbinu za kuitoa ccm hadi sasa lowasa amefikisha kura milion14 lkn lengo kuu la ukawa ni Kura za lowasa ni milion 19 sasa ccm toroka uje eparation hii tuna wakaribisha
 
Habari kama hizi waungwana huwa tunazihifadhi kwa matumizi ya baadaye...
 
Kama ni siri wewe umejuaje? Unadanganya mchana kweupeee
 
Umesema ni siri.?? Je apo kuna siri tenaa?? Na kama hawakuamia talazimika nikuite. Shogaa. Maaana utakuwaa umetimiza sifa zote za kuitwa bint. Mbea. Na mnafiki
 
Hahahahaaa mie pia nilishazihifadhi tokea juzi...kumbe na mimi ni muungwana eeh?

Naam...

Baadaye unakuwa unazitumia kuwaonesha wasio waungwana nini kilichoandikwa awali...
 
Magamba wataisoma namba mwaka huu. nyambaf zao.
 
waje faster wasijemwona nuhu(Lowassa) mbaya pale atakapofunga mlango wa safina...naona wengine mda huo wakiomba Lowassa tufungulie mlango wa safina tafadhali...naye akiwajibu ufunguo wanao watanzania waombeni
 
Waje ila watakaa nyuma, pale kwenye uskani kumeshajaa, tusijekuta serikali ijayo imejaa mamruki tukashindwa fikia malengo, kwa ufup wake ila wategemee kubakia kuwa wasikilizaji na wala si waongozaji
 
Back
Top Bottom