Bundi ametua rasmi Mtaa wa Lumumba usiku huu

Bundi ametua rasmi Mtaa wa Lumumba usiku huu

Wanajamvi hali ni mbaya kuliko maelezo,taarifa za kusikitisha kwa ndugu zangu wana ccm ambazo nimezipata usiku huu kutoka kwa mnyetishaji wangu aliyepo ccm ni kuwa kikao cha siri kimefanyika kwa baadhi ya vigogo wa ccm ili kujiandaa namna ya kuhamia UKAWA mapema oct kabla ya 25/10/2015,vigogo hao wa ccm ni wale walioumizwa na tukio la Lowassa kukatwa jina,wamekuwa wakikutana kwa siri ktk maeneo ambayo ni vigumu kuya suspect,pia wamekuwa wakiogopa kufanya mawasiliano ya simu au email kwa hofu ya kunaswa na wataalamu IT,usiku huu wamefikia tamati ya makubaliano kuwa sasa wanaenda UKAWA,ktk kikao chao cha siri wamedai kuwa upepo unaonekana wazi kuwa ccm haikubaliki mwaka huu na wananchi wengi na hivyo ikitokea wameanguka watakosa pa kwenda,wamezidi kudai kuwa uchaguzi huu ni mgumu kuliko wowote uliowahi kutokea ktk taifa hili,na wamejikuta wakiwa na wakati mgumu ktk kampeni hasa baada ya CCM kuiba logo ya CHADEMA ya m4c na tabia ya kubeba watu kwenye malori ili kujaza mikutano ni dalili ya kushindwa mapema.

Duh!!! Hii ni balaa!!
 
Karibuni kwa mikono miwili. Mje na mtaji wa wapiga kura.
 
Waondoke tu maana kwa Rais Magufuli hamna ulaji wanamkimbia mapema. Lakini tumeshawaona nusu ya wabunge na wenyeviti wa Ccm wakihamia Ukawa sasa hao waliobaki ni kidogo sana,waende wakajazane kwenye gunia la mavi alilobeba Mbowe kichwani. Haliuziki jidanganyeni tu
 
Unaota,ccm wapo kila eneo wametapakaa kukusanya ushindi,hata hapo lumumba sijui kama kuna mtu walahi,huyo bundi nahisi labda katua juu ya paa zen akaelekea kinondoni mitaa ya lang'ata zaman
 
aje maghufuri tutampokea tu maana hajachelewa

Ningekua mimi magufuli ningeshahama na kuhamia uko ili nirudi katka wizara inayohusu na experience yake ya mabarabara maaya yeye kila kona anayopita anahaidi barabara tena kila anapopita anawaambia nyie ndio kipaumbele changu cha kwanza. Sasa sijui anaugonjwa wa kusahau kama alipotoka nako alisema hivyo hivyo
 
waende tu ila washachelewa.kula za nagufuli kwenye box sio Facebook.
 
Tusije shangaa mtu anarudi toka USA na kuamua kujitoa kwenye chama kama alivyopata kufanya yule wa Malawi
 
Back
Top Bottom