Bundi ametua rasmi Mtaa wa Lumumba usiku huu

Joined
Aug 13, 2015
Posts
94
Reaction score
75
Wanajamvi hali ni mbaya kuliko maelezo,taarifa za kusikitisha kwa ndugu zangu wana ccm ambazo nimezipata usiku huu kutoka kwa mnyetishaji wangu aliyepo ccm ni kuwa kikao cha siri kimefanyika kwa baadhi ya vigogo wa ccm ili kujiandaa namna ya kuhamia UKAWA mapema oct kabla ya 25/10/2015,vigogo hao wa ccm ni wale walioumizwa na tukio la Lowassa kukatwa jina,wamekuwa wakikutana kwa siri ktk maeneo ambayo ni vigumu kuya suspect,pia wamekuwa wakiogopa kufanya mawasiliano ya simu au email kwa hofu ya kunaswa na wataalamu IT,usiku huu wamefikia tamati ya makubaliano kuwa sasa wanaenda UKAWA,

Katika kikao chao cha siri wamedai kuwa upepo unaonekana wazi kuwa ccm haikubaliki mwaka huu na wananchi wengi na hivyo ikitokea wameanguka watakosa pa kwenda,wamezidi kudai kuwa uchaguzi huu ni mgumu kuliko wowote uliowahi kutokea ktk taifa hili,na wamejikuta wakiwa na wakati mgumu ktk kampeni hasa baada ya CCM kuiba logo ya CHADEMA ya M4C na tabia ya kubeba watu kwenye malori ili kujaza mikutano ni dalili ya kushindwa mapema.
 
Wanajamvi hali ni mbaya kuliko maelezo,taarifa za kusikitisha kwa ndugu zangu wana ccm ambazo nimezipata usiku huu kutoka kwa mnyetishaji wangu aliyepo ccm ni kuwa kikao cha siri kimefanyika kwa baadhi ya vigogo wa ccm ili kujiandaa namna ya kuhamia UKAWA mapema oct kabla ya 25/10/2015,vigogo hao wa ccm ni wale walioumizwa na tukio la Lowassa kukatwa jina,wamekuwa wakikutana kwa siri ktk maeneo ambayo ni vigumu kuya suspect,pia wamekuwa wakiogopa kufanya mawasiliano ya simu au email kwa hofu ya kunaswa na wataalamu IT,usiku huu wamefikia tamati ya makubaliano kuwa sasa wanaenda UKAWA,ktk kikao chao cha siri wamedai kuwa upepo unaonekana wazi kuwa ccm haikubaliki mwaka huu na wananchi wengi na hivyo ikitokea wameanguka watakosa pa kwenda,wamezidi kudai kuwa uchaguzi huu ni mgumu kuliko wowote uliowahi kutokea ktk taifa hili,na wamejikuta wakiwa na wakati mgumu ktk kampeni hasa baada ya CCM kuiba logo ya CHADEMA ya m4c na tabia ya kubeba watu kwenye malori ili kujaza mikutano ni dalili ya kushindwa mapema.

tutajie majina yao mkuu
 
Hivi mzee anasubiri nini kuvunja baraza???
 
Mwaka huu watakojoa dagaa 🙂
 
Back
Top Bottom